Ilikuwa jana bwana..😅 Leo ni wewe
Sio kweli wapo watu wanaishi na wake zao kama wapo peponi aisee wanaheshimiana kupita kiasi..Watu wanadhani ndoa ni ukatili
Sio mbaya zipo aisee mimi nimeona.Hii ni mbaya sana.. 😂
Hata mm nimeona ni ujinga wa wamatumbi tu.Sio mbaya zipo aisee mimi nimeona.
🤣🤣bila pilikapilika sienjoy aisee😅😅😅😅
Unataka Penzi lichangamke kama limetiwa ndimu?
Watu wamefundishwa mke sio ndugu unamkuta ana hela kidogo tu hata b hazifiki aisee ni ubinfasi kwa kwenda mbele na kumchukia mke wake wengine wakiwa na 200m tu ni balaa ataongeza wake ili kumnyanyasa mke wake ni kukosa maadili ya maisha na kuzishobokea pesa..Asante kwa kuliona hilo 😜
Ukatili unasabishwa na Ubinafsi au ukosefu wa pesa
😅😅😅😅Watu wamefundishwa mke sio ndugu unamkuta ana hela kidogo tu hata b hazifiki aisee ni ubinfasi kwa kwenda mbele na kumchukia mke wake wengine wakiwa na 200m tu ni balaa ataongeza wake ili kumnyanyasa mke wake ni kukosa maadili ya maisha na kuzishobokea pesa..
Sio mke tu unamkuta muhuni ana uhakia kidogo tu hata kwa ndugu na jamaa zake anataka wamlambe miguu life ya bongo sihami aisee..
Sijui.Kwani wewe hujui kuwa ukipokea lazima utoe😂
Hujui hata kusema Thank you?😂Sijui.
Sijui kwakweli.Hujui hata kusema Thank you?😂
Basi hata kupokea utakuwa hujui😂😂Sijui kwakweli.
Napenda.Basi hata kupokea utakuwa hujui😂😂
Au hupendi vitu vya watu