Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Makete was necessary 😥😹😹

Sasa Tanga si ndio kwenyewe huko wanapetipeti..!!
Kwani nyie hiyo sekta si zero tu😅😅

Ukikutana na mtaalam wa mambo usiwe mzembe.....
 
realMamy katika mada zako nyingi za mahusiano umekuwa biased muda wote. Umekuwa unaongelea mahusiano katika namna ambayo inamfaidisha mwanamke pekee na unekuwa ukiona mwanaume hapaswi kupata benefits katika mahusiano hayo. Hii ni mindset ya ubinafsi, chako chako, changu chetu.
Sasa yeye mwanamke aongelee yanayowafaidisha kwani yeye mwanaume? Nawe si uongelee yanayowafaidisha!!
 
1000146566.jpg
 
kumpenda nitampenda na kumheshimu...akitaka kudekezwa arudi kwa baba yake
 
View attachment 3646447

Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.

Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.

Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale.

Mfano "Nipe maji ya kunywa"
"Niwekee maji ya kuoga"
"Njoo hapa"
"Vua Nguo"
"Nipe Mapenzi"
"Huendi"
"Nitanunua nikitaka"
"Wewe"
"Sikununulii"
"Sikupi"

Kumbuka kuwa huko nje unaweza kuwa bosi lakini nyumbani nyote ni familia Moja. Mwanamke anayehisi anathaminiwa ndiye atakayekupa amani ya akili na moyo.

Anapodekezwa mvuto wake unaongezeka. Anakuwa mtiifu zaidi, msikivu zaidi. Nyumba inajaa baraka, chakula kinakuwa kitamu, na matatizo yanapungua.

Kudekeza sio gharama ni uwekezaji.
View attachment 3646452

Usisubiri afanye kitu kikubwa ndio umpe sifa. Mshukuru hata kwa vitu vidogo. "Ninakushukuru" neno hili lina nguvu kuliko pesa nyingi.

#Mapenzi #Ndoa
Uwekezaji usiokuwa na tija na wenye matokeo hasi kwenye ndoa 🚮🚮
 
Back
Top Bottom