Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Niliikataa lini na wapi? Mimi siwezagi kuact kabisa ndo maana walizidaka ili nibaki kuwa na ID moja
Ulikataa kuna uzi walikuuliza kwani huyu nani anayetukana? Ukajibu simjui 😹😹

Wewe kama Petro umeikana Elevenn mara tatu kabla jogoo hajawika..!! Mtsiewwww 😹
 
😅😅😅😅😅 Nimecheka
Nimekumbuka Petro alivyokana 😅😅
 
Wewe umejichafua mwenyewe 😹😹
Sasa unampandishia nani kibesi? Ntakutandika mikwaju oohh..!!

Genuine gani ina parody 😹
Lamomy watch that smelly mouth,, nitakufanya kitu kibayaaa sana..

Jiat because tulipenda matani, haimaanishi kuwa Nime badilika na kuwa mtakatifu.. Don't cross that boader utalala vibaya nakwambia.

Naona umenimiss jinsi nilivyo kuwa zamani
 
Washa moto washa moto kijiwe kilipuke weekend hii 😹😹

Biti wapige wanaokuogopa mimi hapa hunitishii nyau hiyo weka akilini..!!
Viatu utalala navyo wewe, kwanza ushaoga? 😹

Halafu wewe hujachange ila Una act tabia sio zako.. em onyesha tabia zako halisi..!!
 
Kwa hiyo hapa anatumia mwanandani 😅😅😅
 
Washa moto washa moto kijiwe kilipuke weekend hii 😹😹

Biti wapige wanaokuogopa mimi hapa hunitishii nyau hiyo weka akilini..!!
Viatu utalala navyo wewe, kwanza ushaoga? 😹

Halafu wewe hujachange ila Una act tabia sio zako.. em onyesha tabia zako halisi..!!
Shetani shindwaa

Siwezi kuprove, I know God saved me from a wicked spirit.
 
😹😹😹 Haya kalale kesho uwahi coco kupunga upepo..!! Chondechonde usije kunanii ufukweni..!!
 
Kumbe unaogopa 😹😹

Ujanja wote unaogopa ban 😹
Unajua kabisa nikikiwasha patachafuka humu sinaga haya wakati wa kushusha vyuma.. Ni baada ya ban ndo nikajua upuuzi wa matusi haunifanyi nionekane mjanja bali nakuwa na sifa mbaya
 
Back
Top Bottom