😹😹😹 Mnipe link waungwana niupadate mpya..!!Hiyo kweli kabisa, possibly uliyokuwa nayo iko outdated 😂😂
Huo mkapu na wewe utumbukie pia..!! 😹Weka humu 🗑️
Mm ndo nipo bottom kabisa 😸Huo mkapu na wewe utumbukie pia..!! 😹
Mwanamke hapaswi kutegemea kudekezwa ili awe mtiifu. Heshima, upendo na kusaidiana vinapaswa kuwa wajibu wa pande zote.Mada ni kudekeza jikite hapo nitakujibu
😹😹😹Mm ndo nipo bottom kabisa 😸
😂😂😂😂😂Nimecheka had nahis majiran watahis nimechizikaAsante MC 😹
Aina hii ya mnyama inaitwa KICHECHE
Kupenda kuwa na mahusiano au michepuko mingi.
Kuficha mahusiano au kusema uongo kuhusu anayekuwa naye.
Kuchezea hisia za watu kimapenzi.
Kutokuwa na mipaka katika flirt na watu wengine. Ukimuuliza anakwambia utani tu 😹
Mwisho kabisa anapenda sana style ya popo kanyea mbingu ili kuwavuruga wanaume wakware lakini yeye ni jamii ya kicheche..!! 😹😹
Yupi sasa? Lambalamba au mzee Mbaga? 😹😹Nisemee kwa babaangu 😎
Alafu ni mkojo wa ukweli sijui hamuozeshi magodoro 😂😂😂Na kumkojoza mke wake pia
Asubuhi ni kufua kwanza mashuka ni kama vile nimebobea kwenye art of makojozi
Mwenzio amejazia sio kudekeza tu na kumkojoza sasa ndo anatusimulia wanavofua mashuka😂😂😂😂😂Sijaelewa
Umekumbuka JF ya 2023 na ban zetu selfika 😹😹😂😂😂😂😂Nimecheka had nahis majiran watahis nimechizika
Asante professa wetu 😂😂😂😂
😂😂😂😂Yaani ilikuwa raha utani wa kutosha unalala unasmile kabisaUmekumbuka JF ya 2023 na ban zetu selfika 😹😹
Tulikuwa tunachekeshana mpaka machozi, mimi mbwa mpaka wakawa wanabweka wanajua kuna shida..!! 😹
Nothing serious tunachangamsha kijiwe usimind mdogo wangu mzuri realMamy okay babes?
Hiyo uliyo Cc ni id yako nyingene gunner? 😹Yaani huu uzungu uwaletee wanawake wa goba kweli.. Sinikujitaftia kufa tu
Binafsi mm ninauzungu sana ila sasa wanwake hawako receptive...
Cc meghan markle