realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Huyo ni pisi kalii sanaHiyo uliyo Cc ni id yako nyingene gunner? 😹
Umeamua kuwa mjeshi wa akiba 😜Yaani huu uzungu uwaletee wanawake wa goba kweli.. Sinikujitaftia kufa tu
Binafsi mm ninauzungu sana ila sasa wanwake hawako receptive...
Cc meghan markle
Anajua kabisa nimeanza kumtag toka enzi alafu analeta komwe lake lisilo na mwelekeo.Mchokozi 😅😅😅
Noo, si unajua wanawake wa huku kwenu wanapenda heka heka yaani kisipo Waka ndani ya week anaona ana kasoroUmeamua kuwa mjeshi wa akiba 😜
Nilicheka ile siku ms eyes kapost pic yake halafu akamwambia Dr hyperkid afute comment yenye picha akamjibu “sifuti kwani mimi ndio nimeweka picha?” 😹😹😂😂😂😂Yaani ilikuwa raha utani wa kutosha unalala unasmile kabisa
Weeh bana sikuamini kabisaa 😹😹Huyo ni pisi kalii sana
Mchumba the one I can't sleep without
Huyu kijana chakaramu sana 😹😹Mchokozi 😅😅😅
I’d ya Elevenn uliikataa mpaka mods walivyoiunga 😹😹Anajua kabisa nimeanza kumtag toka enzi alafu analeta komwe lake lisilo na mwelekeo.
Si kama unaona ni yangu kasome nyuzi zake hukoo. Mnatafuta kila namna ya kuni chafua ila bado jf wananikubali becoz am genuine sio nyie wapenda dramaWeeh bana sikuamini kabisaa 😹😹
I’d zingeungwa ungetuambia Elevenn pia pisi kali..!!
Mzee MbagaYupi sasa? Lambalamba au mzee Mbaga? 😹😹
Yeye mwenyewe hajiamini sisi ndio tumuamini 😹😹Watu mmeshindwa kumuami kabisa 😅
Niliikataa lini na wapi? Mimi siwezagi kuact kabisa ndo maana walizidaka ili nibaki kuwa na ID mojaI’d ya Elevenn uliikataa mpaka mods walivyoiunga 😹😹
Wewe umejichafua mwenyewe 😹😹Si kama unaona ni yangu kasome nyuzi zake hukoo. Mnatafuta kila namna ya kuni chafua ila bado jf wananikubali becoz am genuine sio nyie wapenda drama
Nipe email yake..!!Mzee Mbaga