Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Kwahiyo anaetakiwa kufanyiwa hayo yote ni mwanamke tu, ila mwanaume yeye atajijua.

Mkuu upo kwenye ndoa mwaka wa ngapi huu?
 
Hiyo nipe mapenzi imesound kikurya😂😂😂
Mkufunzi kutoka SUA idara ya tabia za wanyama karibu mheshimiwa😂😂😂😂 Lamomy
Asante MC 😹

Aina hii ya mnyama inaitwa KICHECHE

Kupenda kuwa na mahusiano au michepuko mingi.

Kuficha mahusiano au kusema uongo kuhusu anayekuwa naye.

Kuchezea hisia za watu kimapenzi.

Kutokuwa na mipaka katika flirt na watu wengine. Ukimuuliza anakwambia utani tu 😹

Mwisho kabisa anapenda sana style ya popo kanyea mbingu ili kuwavuruga wanaume wakware lakini yeye ni jamii ya kicheche..!! 😹😹
 
Tunazunguka tu ila pesa ndo inamfanya mtu adeke 😅😅
Kumdekea mtu asiyekua na hela ni kujichosha tu 😜
😹😹😹 Nguvu za kudekeana bila pesa zinatoka wapi kwa mfano?
Nilitaka nikupokonye shahada yetu ya SUA
 
😅😅😅
Hapa mideko Huwa inaenda hatari 😝.
Maana kudeka huku mkiwa na njaa hainogi hata
😹😹😹 Ewaaahh..!!
Sio unaomba pesa unajibiwa SINA hapo lazima na wewe uanzishe vita ya kiuchumi..!!
 
Back
Top Bottom