Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Dunia sio lele mama kama hukudeka utotoni usitegemee kudekezwa na walimwengu
 
😅😅😅😅😅
Cannabis mbona unakuwa hivo 😅

Sikumbuki hata kama nilideka vizuri.
Nimetoa angalizo tu, kama hukuitumia vizuri hiyo chance ya kudeka utotoni basi huku ukubwani ni mapambano tu
 
Back
Top Bottom