PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Changamoto kwa wanawake wa sasa unaweza kuoneka dhaifu😂😂😂Hakuna anaefanya Jema akalipwa baya 😜
Ukifanya mazuri unalipwa mazuri.
We mdekeze tu utaniambia 😜
Changamoto kwa wanawake wa sasa unaweza kuoneka dhaifu😂😂😂Hakuna anaefanya Jema akalipwa baya 😜
Ukifanya mazuri unalipwa mazuri.
We mdekeze tu utaniambia 😜
I've missed you mjukuu!Hongera kwa wanaume wadekezaji
Ile darling umepata luch nayo ina raha yake 😍 ila sasa ........ kasheshe 😅
😄😄jwtzBaadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani
Dekezo + pesa 😂😂Leo umesahau PESA mbona babes 😹😹
Em edit weka pesa bhana sijakuzoea hivi mimi ujue..!!
Hata mimi mbona sijui hizo kazi, kuna wazee wa kazi halafu kuna kina sie😅😅realMamy maji ya shingo mzee. Anapenda wazee kama nyie ndo mnajua kudekeza😂😂
Aibooo! 😹Dekezo + pesa 😂😂
Kivumishi kishirikishi dear😂😂Aibooo! 😹
Kumbe kivumishi cha kudekeza ndio pesa?