Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Lakini kwenye bandiko lako ulitakiwa kuwa open and direct nini mwanaume anapata baada ya kufanya hayo yote kwa mwanamke wake.

Ila natambua wewe mtoto wa kitanga sometimes mazingira ya pwani yamekushape hivyo.
Hakuna anaefanya Jema akalipwa baya 😜
Ukifanya mazuri unalipwa mazuri.
We mdekeze tu utaniambia 😜
 
Back
Top Bottom