Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Ungeshusha mi mwenyewe nna matusi mapya nilitaka ku upload kwako..!! 😹Unajua kabisa nikikiwasha patachafuka humu sinaga haya wakati wa kushusha vyuma.. Ni baada ya ban ndo nikajua upuuzi wa matusi haunifanyi nionekane mjanja bali nakuwa na sifa mbaya
Kutukana ilikuwa enzi hizo sasa hivi unaonekana kichaa tu umechanganyikiwa na maisha..!! 😹
Na mods wa safari hii hawataki ujinga ajira mpya wanatoa ban bila kukusikiliza oohh..!!
Sema ban zimewanyoosha sana 😹
Hivi mngekuwa ndio mimi kipindi hiko nakula ban ndani ya ban si ungekufa wewe??