Ndo kukua hukoHapa umeongea kitu hapa
Si ndo una tabia zake😅😅😅😅.
Nimefanya nini tena.
Jini kabula ni mwigizaji tu yule jamani.
Thank you...Hongera sana kwa kukua.
Wewe ni kaka Bora sana na mwenye akili sana.
Uache sasa kushabikia watu wabayaHapana.
Usinifananishe na vitu vya ajabu.
Naelewa ila hata kama sio mbaya kwako akileta zongo kwa wengine ukikaa upande wake inamaanisha ume sapoti ushenzi wakeNani mbaya Sasa jamani?
Mbaya wako wewe sio mbaya wangu mimi 😅
Nitafurahi kama utakizingatia hilo.Sawa nimekuelewa vizuri
Nikizidisha?Hii ni kutoka moyoni.
Una akili sana.
Sema ukizidisha tu ndo huwa unaharibu.
Hahaha...Ushaelewa.
Ufafanuzi ukizidi tutaharibu
Watu wa vijijini wakishapata vijicent ni mwendo kama ulivyosema upo sahihi mkuu big up wape darasa wahuni wao wanaona home ni sehemu ya Hormuz kama Iran vs USA au Israel kumbe ndio sehemu mtu anatakiwa awe na furaha kwa muda mrefu ila sema na ninyi mpunguze kero zisizo na kichwa wala miguu wahuni wa enjoy life..View attachment 3646447
Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.
Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.
Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale.
Mfano "Nipe maji ya kunywa"
"Niwekee maji ya kuoga"
"Njoo hapa"
"Vua Nguo"
"Nipe Mapenzi"
"Huendi"
"Nitanunua nikitaka"
"Wewe"
"Sikununulii"
"Sikupi"
Kumbuka kuwa huko nje unaweza kuwa bosi lakini nyumbani nyote ni familia Moja. Mwanamke anayehisi anathaminiwa ndiye atakayekupa amani ya akili na moyo.
Anapodekezwa mvuto wake unaongezeka. Anakuwa mtiifu zaidi, msikivu zaidi. Nyumba inajaa baraka, chakula kinakuwa kitamu, na matatizo yanapungua.
Kudekeza sio gharama ni uwekezaji.
View attachment 3646452
Usisubiri afanye kitu kikubwa ndio umpe sifa. Mshukuru hata kwa vitu vidogo. "Ninakushukuru" neno hili lina nguvu kuliko pesa nyingi.
#Mapenzi #Ndoa
Mimi nilifundishwa na mzee wangu nikiwa chalii sema nilikua simuelewi ila sasa nameless unatakiwa utengeneze furaha nyumbani kwa gharama yeyote...watoto wakuone kama Baba na rafiki na mke pia sio ukifika watu wanaondoka sitting room Baba karudi hiyo hapana..Mtu anakunja ndita nyingi sana 😜 anatafuta kuheshimiwa kwa Nguvu.