Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Inakuwaje wanajamvi.

Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.

Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.

Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.

Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.

Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.

A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.

Nyau de adriz
 
nyau de adriz
Kweli kabisa. Pia haipendezi mwanaume kufuatilia maisha ya wanaume wenzio na kuwa mchambaji.
 
Kuna mpumbavu mmoja kwenye kunisalimia aliropoka akiniona anaskia raha.

Aisee nilighafirika mpaka leo sisahau hilo tukio. Asingeomba radhi ilikuwa tupasuane pale pale heshima iwepo.
Je, alikosea wapi? Ulimuuliza? Kwanini ulikwazika? Kwa mfano mtu akisema akikuona anajisikia karaha utafurahi?
 
Huyu nae ni Yale Yale tu kama mleta Uzi
Mimi watu wanasemaga nachekesha yes nafurahi moyoni kuona watu wanafurahi juu yangu kuchekesha kuliko ingekua ni mtu wa kukera watu.

Hapa ni issue ya mind sett tu stay positive always.
 
Inakuwaje wanajamvi.

Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.

Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.

Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.

Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.

Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.

A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.

nyau de adriz
Kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda au kununuliwa pafyumu na mwanaume mwenzio iyo hapana.

Lakini kuna mambo mengine mfano unajua mwanao shabiki wa liverpool halafu bado hana jezi ya msimu huu katika pitapita zako umeiona dukani ukaamua kumnunulia iyo sio mbaya.

Au wikiend moja dili limetema na unajua mwanao hayupo fresh, kumshtua oya ibuka maeneo fulani tukamue iyo mbona kawaida tu.
 
Oi, Mimi zawadi yoyote iliyotolewa kwa Nia njema. Ninapokea.

Kuna mchongo huu hapa kwa watumiaji wa Mtandao wa Airtel. Unapiga *149*91# unapata bando zenye Gharama nafuu. Bando hizo unajiunga mwenyewe.
Ninafurahia sana bando hizi.
NB: EPUKA MATAPELI. BANDO HIZO UNAJIUNGA MWENYEWE KWENYE LAINI YAKO. HUPASWI KUTUMA PESA ILI UUZIWE HIZI BANDO.
 
Attachments

  • rqurah.jpg
    rqurah.jpg
    131.1 KB · Views: 3
Kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda au kununuliwa pafyumu na mwanaume mwenzio iyo hapana.

Lakini kuna mambo mengine mfano unajua mwanao shabiki wa liverpool halafu bado hana jezi ya msimu huu katika pitapita zako umeiona dukani ukaamua kumnunulia iyo sio mbaya.

Au wikiend moja dili limetema na unajua mwanao hayupo fresh, kumshtua oya ibuka maeneo fulani tukamue iyo mbona kawaida tu.
Kwa mwanao au mshua ndugu sawa
 
Back
Top Bottom