Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

Inakuwaje wanajamvi.

Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.

Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.

Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.

Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.

Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.

A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.

nyau de adriz
Yani hata fanta tusinywe? Unataka tunywe hizo 'maisha juu' unazokunywa wewe? Sio poa kabisa.
 
Kutoka out hapna hapana asee tumia neno jingine kama oyaa mkali weeked hii tunaruka pande fln kuna chenchi hapa tukaisambaze kwa sentes hii nitakuelewa
 
Inakuwaje wanajamvi.

Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.

Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.

Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.

Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.

Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.

A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.

nyau de adriz
Machawa hawezi kukuelewa kabisa.
 
kuna SOCIAL CONDITIONING za ajabu sana ...

Yaani huwezi kumwambia mtu kama unampenda kwa kuhofia NINI? unaogopa tu kuitwa CHOKO?

Mbona mnapata tabu sana vijana maisha yenyewe mafupi mnoo mtakufa mmebinua makalio kwa msongo wa mawazo!!

Wacha niendelee na majukumu ya kiserikali.
 
Watu wengi wanaojiitaga wagumu mara nyingi si kweli ila Maisha yao ndiyo huwa magumu!!
 
Oi, Mimi zawadi yoyote iliyotolewa kwa Nia njema. Ninapokea.

Kuna mchongo huu hapa kwa watumiaji wa Mtandao wa Airtel. Unapiga *149*91# unapata bando zenye Gharama nafuu. Bando hizo unajiunga mwenyewe.
Ninafurahia sana bando hizi.
NB: EPUKA MATAPELI. BANDO HIZO UNAJIUNGA MWENYEWE KWENYE LAINI YAKO. HUPASWI KUTUMA PESA ILI UUZIWE HIZI BANDO.
Hamna unafuu wowote wanahangaika tu inatakiwa 1GB iwe 1000
 
Tutaanza kuepuka kufanya mambo fulani ya maana tukisingizia uwanaume sidhani kama uliyoyataja yanampunguzia mtu nguvu zake za kiume
 
Inakuwaje wanajamvi.

Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.

Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.

Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.

Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.

Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.

A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.

Nyau de adriz
Inshu ni perception au niseme mtazamo ,Duniani we live once ,we die once ..Yaani ualikwe na Lunch eti ukatae alafu ni once kwanini ukatae...

Mm nadhani andiko lako liseme Tu tuwe makini na zawadi kutoka kwa Watu tusiwafahamu maana hakuna cha BURE cha sasa
 
Inakuwaje wanajamvi.

Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.

Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.

Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.

Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.

Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.

A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.

Nyau de adriz
Adriz alikukosea nini 🤣
 
Back
Top Bottom