The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kweli kabisa. Pia haipendezi mwanaume kufuatilia maisha ya wanaume wenzio na kuwa mchambaji.Inakuwaje wanajamvi.
Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.
Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.
Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.
Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.
Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.
A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.
nyau de adriz
Kuna mpumbavu mmoja kwenye kunisalimia aliropoka akiniona anaskia raha.Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.
NakubaliNi issue ya mindset tu Mzee, mawazo Yako ukishaya weka negative lazima utaishi hivo, mfano unamwita Binti tayar akili yke inamtuma unataka kumtongoza kumbe Wala huna Hilo lengo.
Je, alikosea wapi? Ulimuuliza? Kwanini ulikwazika? Kwa mfano mtu akisema akikuona anajisikia karaha utafurahi?Kuna mpumbavu mmoja kwenye kunisalimia aliropoka akiniona anaskia raha.
Aisee nilighafirika mpaka leo sisahau hilo tukio. Asingeomba radhi ilikuwa tupasuane pale pale heshima iwepo.
Huyu nae ni Yale Yale tu kama mleta UziJe, alikosea wapi? Ulimuuliza? Kwanini ulikwazika? Kwa mfano mtu akisema akikuona anajisikia karaha utafurahi?
Ndio hilo halina shida.Je, alikosea wapi? Ulimuuliza? Kwanini ulikwazika? Kwa mfano mtu akisema akikuona anajisikia karaha utafurahi?
Kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda au kununuliwa pafyumu na mwanaume mwenzio iyo hapana.Inakuwaje wanajamvi.
Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.
Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.
Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.
Kuna vitu vingine kwa mwanaume siyo kufanya hadharani kama kunywa fanta orange.
Inasikitisha sana hadi vimilionea uchwara vinatunukiwa pafyumu hadharani kama zawadi kwenye camera na mwanaume mwenzake unabaki kukenuakenua mimeno tu.
A MAN SHOULD BE ALWAYS MASCULINE PHYSICALLY, MENTALLY AND EMOTIONALLY, NOT FEMININE.
nyau de adriz
Kwa mwanao au mshua ndugu sawaKumwambia mwanaume mwenzio nakupenda au kununuliwa pafyumu na mwanaume mwenzio iyo hapana.
Lakini kuna mambo mengine mfano unajua mwanao shabiki wa liverpool halafu bado hana jezi ya msimu huu katika pitapita zako umeiona dukani ukaamua kumnunulia iyo sio mbaya.
Au wikiend moja dili limetema na unajua mwanao hayupo fresh, kumshtua oya ibuka maeneo fulani tukamue iyo mbona kawaida tu.