Mwanaume huyu anaelekea kunishinda kwa ulevi wake

Mwanaume huyu anaelekea kunishinda kwa ulevi wake

dagaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
290
Reaction score
379
Twende moja kwa moja kwenye hoja.

Mimi ni mama wa mtoto 1, nimebahatika kukutana na mbaba ambaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyoshindwa kuendelea naye na hata mke wake kuachana naye ni sawa nipo naye karibia mwaka sasa.

Ni mbaba mwenye upendo wa kweli nauona ila changamoto ni mwanaume anayekunywa sana pombe na kampani yake ni wanywaji, pia ni anavuta bangi, ila kitandani hamna kitu, kuliko niendelee kusema nampenda bora nikae kando yasije yakanikuta kama ya mdogo wangu wa Mwanza. Kibaya sisi wengine hatuwezi kuchanganya kondoo wawili kwa wakati mmoja.

Usiombe akavuta bangi na mkaenda sita kwa sita utadhani anatwanga kisamvu kwenye kinu haha

Hivi nyie wenzangu wenye wapenzi wa dizaini hii mna uvumilivu gani mnautumia kuendelea kuwa katika mapenzi?
 
Twende moja kwa moja kwenye hoja.

Mimi ni mama wa mtoto 1, ni mebahatika kukutana na mbaba amabaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyos
Kumbe hapa shida ni kwamba hajakukojoza
 
Twende moja kwa moja kwenye hoja.

Mimi ni mama wa mtoto 1, ni mebahatika kukutana na mbaba amabaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri


Pombe + Msuba??!!--- soon he will an insane leave him.🤣
 
"Usiombe akavuta bangi na mkaenda sita kwa sita utadhani anatwanga kisamvu kwenye kinu haha"

binafsi sijakuelewa!
 
Kaka zako wachaga wenyewe wanasemaje!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole.
Mbwa mzee hafundishwi kuwinda.
Ni uamuzi wako kwenda nae porin ashtue wanyama wakimbie ama kutafuta anaeweza winda

Kinyumbe cha hapo norinko ipo kwenye paji lako la uso ikingoja kukohoa then tuandike....

Pumzika kwa furaha kaburini
 
Mapenzi ni art(sanaa), kunatakiwa ufundi, ubunifu, uelewa, umakini, consideration n.k. Ukikurupukia tu mapenzi kwa mihemko lazima yakutende...
 
Kuwa muwazi bc dada tujue tunakusaidiaje,shida n ukojozwe au aache bange au aache pombe?alaf tuambie mwaka mzima unategemea ataacha bangi au unategemea itafika siku atakukojoza?ile siku mmeunganisha vikojoleo kwa mara ya kwanza ulipaswa kuanza maandalizi ya kumkimbia,lkn njaa zako ndio zmekueka hapo hadi leo,alaf mkimaliza miaka mitatu ukileta fyoko ukitandikwa risasi ya matako tuanze kumlalamikia mchaga???
 
Back
Top Bottom