Mwanaume jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kipato zaidi ya mara mbili na kuendelea pia akili usiweke pembeni

Hata niwe rais wa nchi hii stadhubutu kuoa mwanamke mwenye kazi,nitaoa binti aliyetoka kwao akawe mama wa nyumbani.
 
Hata niwe rais wa nchi hii stadhubutu kuoa mwanamke mwenye kazi,nitaoa binti aliyetoka kwao akawe mama wa nyumbani.
 
ACHA uoga!

Kama ni wako ni wako tu hata awe na fedha nyingi atakua wako tu coz wewe ni password ya asili ya kuweza kufungua mfumo wake!!

Tatizo wengi wetu tunaoa TU bila kujali kama no yeye au sio yeye!!

Hata ukioa uliemzidi kipato anaweza kukuletea shida sana fimbo ya kipato ikawa butu kumchapia Ili kumweka sawa!!

Mungu anakutanisha nafsi na sio pesa,Dini,maumbile no nafsi!

Tatizo letu tunadhani Mungu anakutanisha pesa,muonekano,kabila,dini etc kwenye mahusiano kumbe ni nafsi pekee ndio zinaunganishwa kwenye mahusiano!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…