Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Hauwezi kujibu kwasababu wewe ni muongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi kujibu kwasababu wewe ni muongo
Mimi nimekuuliza hivyo ili nikukamate kwa uoñgo wakoHii ni interview au interrogation?
Mzee wa fix umeshindwa kujibu swali jepesi kabisa 😆😆😆😆Umenikosa mkuu eti uongo, niache kumdanganya mwali wa kimakonde usiku anikatikie vya kwenda nije nikudanganye wewe hapa. Namna gani wewe mkuu?
Ukifika songea niambie niwe chawa wako[emoji16]Songea nitafika inshallaah
Heheh naomba uwe mwenyeji wanguMbaki huko Dar.
Hiv bado kuna watu wanaamin kuna jipya kwenye ngono.Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea?
Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta.
Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi kumechangamka zaidi kuliko Newala na kuna wamakonde wa kutosha tu .
Nijuavyo mimi Masasi ni kwa wamakua but nevertheless I will go there too kwa sababu kutoka hapa Newala hadi Masasi ni lisaa limoja tu.
Nilikuja na Mahuta Express nikaingia juzi hiyo mchana.
Jana nikabahatika kukutana na mtoto wa kimakonde.
Sitaki kukwambia kitu gani kilitokea.
Mwaka 90 kuna msukuma mmoja alikuja Dar akanywa soda kwa mara ya kwanza alipomaliza kunywa soda akamwambia shemeji yake ( mume wa dada ake ) " shemeji naomba mbegu ya hizi soda nikapande kijijini shinyanga"
So do I declare that kama wa dada wa kimakonde wangekuwa na mbegu basi ningewapanda Shamba zima shambani kwangu kule Homboza...
Itoshe kusema kwamba wa dada wa kimakonde nyinyi ni hatari.
Mungu awabariki sana.
# halafu wa dada wa kimakonde hawanaga alama za weusi katikati ya mapaja " dark underthighs" wala michirizi kwenye mapaja.
Ulielewa nilicho kilenga ?Mhubiri 7:20
Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, atendaye mema pasipo kutenda dhambi.
Kuomba uenyej kuna maana pana sanaHeheh naomba uwe mwenyeji wangu
Wewe mhuni umeelewa ni vile miyeyusho Mingi.Fafanua ili na sisi ambao hatujaelewa tuweze kuelewa