Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha uko vizuri kwenye mambo ya kimila au ya kanisani/msikitini

Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha uko vizuri kwenye mambo ya kimila au ya kanisani/msikitini

Mke anakuroga, mchepuko anakuroga, mama ako anakuroga ili uwe fiti usiwe bwege....ndio maana wanaume kuna muda network zinakata

dah, nimecheka sana.

Ila uko sahihi sana, maisha yetu kibongobongo ni hatari sana, hapo ukute na kazini pia una kanafasi napo wafanyakazi wanakuroga, ukiwa unakabiashara umeajiri watu nao wanakuroga basi full vurugu.

Kuna mambo mengi sana mitaani huku yanayokwamisha watu wasiendelee.
 
Mke anakuroga, mchepuko anakuroga, mama ako anakuroga ili uwe fiti usiwe bwege....ndio maana wanaume kuna muda network zinakata
Kuna jamaa alioa wake wawili halafu wote wakawa wanamroga kila mtu avutie upande wake. Mwisho wa siku dishi likayumba, ikawa kila akiona wake zake anadata na kuweza kutembezea vichapo.

Ikabidi waungane kumuagua mume wao.
 
dah, nimecheka sana.

Ila uko sahihi sana, maisha yetu kibongobongo ni hatari sana, hapo ukute na kazini pia una kanafasi napo wafanyakazi wanakuroga, ukiwa unakabiashara umeajiri watu nao wanakuroga basi full vurugu.

Kuna mambo mengi sana mitaani huku yanayokwamisha watu wasiendelee.
Kuna mdada alienda kwa mtaalamu ili akamroge mchepuko wake (mume wa mtu) mtaalamu akamwambia dah dada huyu mtu amefungwa na mke wake inabidi tuanze kushughulikia kwanza hii dawa ya mke wake, ndio nikufanyie sasa na wewe.....
 
Ni kama masikhara ila jomba hakikisha unakuwa uko fit sana kwenye kimojawapo. Kama umeamua kuwa mtu wa kanisa au msikitini basi hakikisha unashikilia sana huko. Kwa wale wazee wa mambo ya kimila hakikisha uko fit mno. Kazindikwe huko Ziwa Tanganyika siku kadhaa kabla ya kuoa. Usiwe vuguvugu.

Mimi nimeandika hivi baada ya kupata experience huko kwenye wataalamu wa sayansi ya asili. Wanawake wengi sana huenda huko kuwatengeneza wanaume zao. Enzi nikiwa mdhambi nilikuwa nina mahudhurio mazuri huko nikaona mabinti wadogo hadi kina mama watu wazima wakipanga foleni kwa wataalamu. Shida yao kuu ni kuwatengeneza wanaume wawatii. Hali ni mbaya sana. Hawa wanaoitwa NICE GUYS wengi wao wametengenezwa. Sio akili zao.

Sikushauri uwe mchawi ila kama mwanaume kaa chini tafakari uchague upande sahihi. Mimi nilikuwa upande wa mambo ya kimila ila niliyatupilia mbali baada ya kuona ni upuuzi kuishi kwa masharti.
Licha ya hivyo kuwa nice guy mara nyingi inatokana na malezi ya muhusika. Amelelewa kuamini wanawake ni viumbe wazuri na yeye ndio wakubeba makosa yao.
When in reality ni uongo

Is why nguzo nyingine muhimu ni msimamo wa mwanaume. inakuwa ngumu kumyumbisha mwanaume mwenye msimamo

But yes kiimani nako jiweke sawa, else utaumia
 
Hapo kwa michepuko upo sahihi Kbsa mkuu, especially wale michepuko wenye wivu kwa wake za wanaume wanaotoka nao ndo hatarii
Ila huwa najiuliza hawa viongozi wa serikali huwa wanalogwa kiasi gani hadi utakuta anamjengea mchepuko Ghorofa... utakuta pisi yenyewe ya kawaida sana.
 
Ila huwa najiuliza hawa viongozi wa serikali huwa wanalogwa kiasi gani hadi utakuta anamjengea mchepuko Ghorofa... utakuta pisi yenyewe ya kawaida sana.
Viongozi wa serikalini hawatokagi na pisi za kawaida, lazima mwanamke awe pisi kali haswaa😂
 
Ila huwa najiuliza hawa viongozi wa serikali huwa wanalogwa kiasi gani hadi utakuta anamjengea mchepuko Ghorofa... utakuta pisi yenyewe ya kawaida sana.
Hamna watu wanaenda kwa waganga kama hao jamaa, ku retain cheo au nafasi serikalini si mchezo. Wanaloga wanatoa kafara

Sasa suala la kumjengea mchepuko itategemea amedakwa kimapenzi kweli au kazidiwa nguvu za giza
 
Kuna mdada alienda kwa mtaalamu ili akamroge mchepuko wake (mume wa mtu) mtaalamu akamwambia dah dada huyu mtu amefungwa na mke wake inabidi tuanze kushughulikia kwanza hii dawa ya mke wake, ndio nikufanyie sasa na wewe.....

Duh hatari sana, sasa hapo unakuta mtu moja haikai mbili haikai mnamuona kama mwehu kumbe kawekwa kwenye chupa.

Africa pagumu sana.
 
Hivi wenye hela nao wanarogwa? kwa mfano tusikie Bakhresa kapewa limbwata au usikie mama Samia kampa limbwata mumewe au haya mambo yako uswahilini
Sa unamroga masikini wa nini jamani hayo ni matumizi mabaya ya dawa......

Yani kweli nipeleke kwa mtaalamu wangu jogoo la afu salasini kumroga masikini?? Si heri nilikunywe supu.
 
Sa unamroga masikini wa nini jamani hayo ni matumizi mabaya ya dawa......

Yani kweli nipeleke kwa mtaalamu wangu jogoo la afu salasini kumroga masikini?? Si heri nilikunywe supu.
Hivi wale wanaowapelekea moto mixer kupaka mikongo sijui, kuingia chumvini! Huwa hamuwaendei kwa waganga?
 
Sa unamroga masikini wa nini jamani hayo ni matumizi mabaya ya dawa......

Yani kweli nipeleke kwa mtaalamu wangu jogoo la afu salasini kumroga masikini?? Si heri nilikunywe supu.
wanaorogana sasa ni hao hao, wanaovaa vijola vya afutatu, sasa kama lishangaz Afande anaenda kuroga nini?
 
Back
Top Bottom