Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

1. Mwanamke kama hakupi penzi huyo hakupendi
2. Kama mwanaume unastrugle sana kupata penzi, huyo mwanamke hakupendi
3. Kama alikuwa anakupa penzi na sasa hakupi, basi mapenzi yameshuka, hakupendi tena
 

Attachments

  • Screenshot_20241030-164510.jpg
    Screenshot_20241030-164510.jpg
    265.7 KB · Views: 2
Kwanini aombe pesa kwingine wakati nampa? Kama anaona nazompa hazimtoshi aende moja kwa moja kwa huyo anayempa mimi niende kumpa mwingine na niteleze huko huko.
Ndio nakwambia kumpa pesa inawezq isitoshe kupendwa
 
Omba omba mwengine ameingia kwenye mahusiano
Nyie ndio mnaanza mahusiano si wengine tushazeeka tunalea wajukuu
 
Back
Top Bottom