Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

U
Huu uzi wako ni wa kizembe na kitoto sana aisee hujui umemwandikia nani na kuna wangapi wanaousoma halafu bado unaendelea kupata nguvu ya kujibishana huoni kama unazidi kujiaibisha ?
Uzi gan
 
Tupo na Mishangazi inayokopesheka siyo wale wa alfu mbili Gen alpha! Pesa before and after use!!
 
Nasemaje Nasemaje!

1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi

2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana

3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine

Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie

Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi

Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!

Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio

Na kama mwanamke hakupendi naye hakupi "TUNDI"?
 
Back
Top Bottom