Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Natafuta dola 10,000 kwanza 😃😃😃
Ili tuongee vizuri, lakini punguza kuandika shombo aisee unaonekana bonge la mshamba
Shombo si ndio imekuleta hapa
Harufu imekuvutia
Acha kulia lia
 
Nasemaje Nasemaje!

1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi

2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana

3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine

Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie

Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi

Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!

Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio
Hizi ni mentality za wanawake masikini, wa hali na mali.
 
Majina huumba! Money Penny! Sikujua, Sikudhani, Karume Kenge! Inama nikusweke!!
 
Sasa tajiri huku jamii forum unafanya nini labda?
 
Poyeeee
Naona jiwe limepiga mahala pake
Pole sana.
 
Unaziona mentality zako we Mwanamke
Money Penny
Maskini ni teye aliekuja ku comment
Matajiri siku zote tunaongea ukweli na wanaume hawapendi mwanamke mkweli
 
Sasa tajiri huku jamii forum unafanya nini labda?
This is a logical non sequitur fallacy.

Ndiyo maana nikasema una mentality za kimasikini. Kwa hali na mali.
 
Sawa tajiri
Wacha maskini tuongee ukweli
 
Maskini ni teye aliekuja ku comment
Matajiri siku zote tunaongea ukweli na wanaume hawapendi mwanamke mkweli
Huu uzi wako ni wa kizembe na kitoto sana aisee hujui umemwandikia nani na kuna wangapi wanaousoma halafu bado unaendelea kupata nguvu ya kujibishana huoni kama unazidi kujiaibisha ?
 
Sawa tajiri
Wacha maskini tuongee ukweli
Logical non sequitur fallacy.

Wacheni kuendekeza umasikini na umalaya.
 
Poyeeee
Naona jiwe limepiga mahala pake
Pole sana.
Tupo na Mishangazi inayokopesheka siyo wale wa alfu mbili Gen alpha! Pesa before and after use!!
 
Back
Top Bottom