🤣🤣🤣Nawahurumia sana vijana wanaoingia kwenye mahusiano na wanawake masikini wenye damu ya omba omba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Nawahurumia sana vijana wanaoingia kwenye mahusiano na wanawake masikini wenye damu ya omba omba
Soma hapa we Money PennyMwanaume anaekupa hela kila ukihitaji huyo hakupendi anakuchezea. Hakuna mwanaume anaye oa mwanamke aliyekua anampa hela mara kwa mara huko kwenye uchumba maana anajua maisha ni kupanda na kushuka.
Wanaume tunawanyima hela wanawake ili tujue kama wanatupenda au wanapenda hela zetu. kama wewe sii mke wake na mwanaume akakupa hela ni wazi kuwa hakupendi amekununua.
Wanawake njoeni hapa huu ni ukweli
Nipo bossI miss you Sweet Lishangazi 🤗🤗🤗
Where av yuu biiin ?
Majukumu ya Mwanamke ni yapi ? 🤔
Aisee umenena Mkuu, huyu Money Penny hajui tu jinsi wanaume tunavyo struggle huku mtaani ili kuboresha hadhi zetu. Unapambana na bado unakutana na vikwazo na bado yeye anaona kama hatufanyi yale mambo ni muhimu kwa ajili ya Wanawake 🤣🤣🤣
Mwenzetu wewe ulizaliwa kwa farao ee?Nawahurumia sana vijana wanaoingia kwenye mahusiano na wanawake masikini wenye damu ya omba omba
😂 Acha kabisa
Mwanaume anaekupa hela kila ukihitaji huyo hakupendi anakuchezea. Hakuna mwanaume anaye oa mwanamke aliyekua anampa hela mara kwa mara huko kwenye uchumba maana anajua maisha ni kupanda na kushuka.
Wanaume tunawanyima hela wanawake ili tujue kama wanatupenda au wanapenda hela zetu. kama wewe sii mke wake na mwanaume akakupa hela ni wazi kuwa hakupendi amekununua.
Wanawake njoeni hapa huu ni ukweli
Sina mda mchafu na mtu alizakiwa mwaka 2000Soma hapa we Money Penny
Huyo muhusika anaeongea anaonekana kwake kuna stress mpaka amezikubaliView attachment 3137403
Money Penny soma hapa na uelewe na ukielewa hautarudia tena kuandika uzi kama huu, kama unahongwa na kupewa hela ni wewe na usiwafanye Wanawake wenzao wakaanzisha vimbwanga kwenye mahusiano yako kwa sababu ya huu uzi wako.
Kama huzijui shida basi shukuru na sema Alhamdulillah kwa maisha uliyonipa.
Aliyekufanya uishi maisha ya kuhongwa na kupewa kila unachokitaka ndio yule yule aliyemnyima yule anayevumilia kwa kula mihogo na maji.
Nmeamin kwel wanawake ni viumbe dhaifuNasemaje Nasemaje!
1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi
2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana
3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine
Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie
Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi
Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!
Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio
Dume hiliNasemaje Nasemaje!

This is rubbish 🚮🚮🚮😏😏😏😏Huyo muhusika anaeongea anaonekana kwake kuna stress mpaka amezikubali
Simshangai, kamuoe basi
Duh 😬😬😬😬Sina mda mchafu na mtu alizakiwa mwaka 2000
Acha wakamchape akichoka atakuja kuskiliza wakubwa
Kwanini?Nmeamin kwel wanawake ni viumbe dhaifu
Jike hiliDume hili
This is rubbish 🚮🚮🚮😏😏😏😏
Jitahidi kuwa muungwana aisee. Umeandika maneno ya kihuni sana how come nimuoe Mwanaume mwenzangu.
Duh 😬😬😬😬
Why do you write stupid words like this?
Elewa dhana ya omba omba , btw thread yako ipo ki kahaba kahaba isitumike kama reference kwa wanawake wasio na maadili ya u kahabaMwenzetu wewe ulizaliwa kwa farao ee?
Hata Yesu alizaliwa umaskinini, hao unaowahurumia ni akina nan labda mpaka tuwashangae
Ameniita kwake saa 5 usiku, nimeenda na mchungaji, baadae amenuna, nifanyaje?
Wahuniiiiiiiii? Nimewaita Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi kwao mchungaji akabaki geto mpaka asubuhi Sasa asubuhi bofriend anapigiwa simu na binti, simu...www.jamiiforums.com