Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Wakati wengine tunatafuta hela Baba yako yuko busy kunyang'anya binti za watu khanga zao huko visimani na mbugani, Ona sasa leo binti yake bila kuhongwa unaona hupendwi🤣.

Sisi ndo washikqji wa Baba yako kama vipi njoo tu tutakutunza, wewe ni binti yetu bwana.
We pdiddy tulia tu na baby oil usubiri kumtoa Michael jackson
Huku Africa kama hutoi hela kwa mkeo au mchumba wako humpendi
Pole kwa kukasirika ila code imewekwa mahali pake
Leo wanaume mmekuja kwa wingi kwenye uzi wa akina dada
 
Nasemaje Nasemaje!

1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi

2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana

3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine

Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie

Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi

Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!

Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio
Fanyeni kazi mtafute pesa za kwenu acheni kutia huruma utadhani mliumbwa vilema
 
We pdiddy tulia tu na baby oil usubiri kumtoa Michael jackson
Huku Africa kama hutoi hela kwa mkeo au mchumba wako humpendi
Pole kwa kukasirika ila code imewekwa mahali pake
Leo wanaume mmekuja kwa wingi kwenye uzi wa akina dada
Pesa me mbona natoa tena sana tu na umaarufu ukitaka, sikupingi ila hiyo ni akili ya watoto wa masikini. Tafuta hela hata unapokua unakamiwa unadinywa kwa heshima ukiendekeza njaa ndo hivo wahuni tunafyonza na kisusia🤣
 
Nasemaje Nasemaje!

1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi

2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana

3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine

Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie

Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi

Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!

Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio
unazungumzia Biashara ya mapenzi sio?🐒
 
Huyu hajaolewa, Hawa ndo Madem wanaobondwa daily😀
 
Wadanganye
 
Back
Top Bottom