Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Kichwa kiki kosa akili sehemu za siri lazima zishambuliwe na kichwa cha chini kwa nyukilia kali
Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....
Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...