Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

We pdiddy tulia tu na baby oil usubiri kumtoa Michael jackson
Huku Africa kama hutoi hela kwa mkeo au mchumba wako humpendi
Pole kwa kukasirika ila code imewekwa mahali pake
Leo wanaume mmekuja kwa wingi kwenye uzi wa akina dada
 
Fanyeni kazi mtafute pesa za kwenu acheni kutia huruma utadhani mliumbwa vilema
 
We pdiddy tulia tu na baby oil usubiri kumtoa Michael jackson
Huku Africa kama hutoi hela kwa mkeo au mchumba wako humpendi
Pole kwa kukasirika ila code imewekwa mahali pake
Leo wanaume mmekuja kwa wingi kwenye uzi wa akina dada
Pesa me mbona natoa tena sana tu na umaarufu ukitaka, sikupingi ila hiyo ni akili ya watoto wa masikini. Tafuta hela hata unapokua unakamiwa unadinywa kwa heshima ukiendekeza njaa ndo hivo wahuni tunafyonza na kisusia🤣
 
unazungumzia Biashara ya mapenzi sio?🐒
 
Huyu hajaolewa, Hawa ndo Madem wanaobondwa daily😀
 
Wadanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…