AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
Kwamba wanawake wanaolewa ili wapike!!!Labda kama huyo Mkeo awe amekuoa, ila kama anajua majukumu yake atafanya kila kitu kinachomhusu hata kama kuna ugomvi
Wewe kama ulibahatisha mshukuru Mungu wanawake hawafanani tabia na mafarakano kwenye ndoa hayaepukikiUmetuaibisha sana wanaume. Before hujaoa ulikuwa unakula wapi? Halafu hivi inakuwaje kuwaje mkeo anakuletea kiburi yani?
Kwa hilo swali lako sina cha kukujibu Mkuu, kwaheriKwamba wanawake wanaolewa ili wapike!!!
WAtakuambia wao hawajui kupika labda wanajuwa kuchemsha maji tu.Kuna mtanzania mtu mzima wa kike au wa kiume hajui kupika ugali, wali au tambi na mboga za majani??
Ni wapuuziWAtakuambia wao hawajui kupika labda wanajuwa kuchemsha maji tu.