Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Asipopika tafuta house girl mzuri akupikie alafu msifie sana,mke akijifanya anashangaa muulize unashangaa nini kwa sauti ya kibabe.
Hayo majukumu yatafanyika kama mwanamke ni mgonjwa tu.Kiujumla wanaume wanatakiwa wajifunze kazi za nyumbani na kuyachukulia kama majukumu yao haijalishi wameoa au la na siyo tu kwa sababu ya mke akigoma kufanya dunia imebadilika siku hizi hakuna tena mgawanyo wa majukumu kama zamani, siku hizi mtu yeyote anafanya kazi yoyote isipokuwa yale majukumu ya kimaumbile tu kama siku hizi wanawake wanafanya majukumu ya wanaume kwanini wanaume nao wasifanye majukumu ya wanawake, ndio maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa maana wanajua wanaenda kubebeshwa mzigo wa majukumu tu huko kwenye ndoa huku wanaume wakijichagulia majukumu machache
Wakati mwingine hata akikunyima tendo lalamika na jifanye kuwa umeumia sana ili ajie kama na hiyo ndio silaha yake afadhali upigwe na silaha ambayo haiumizi lakini wewe lia kwa maigizo kuliko kumcheka na kumwambia haiumii...atatafuta silaha nzitona kukuuaUsitwae power zote hadi mke akakosa kitu cha kujivunia.
Jifanye kuwa unateseka sana kwa yeye kutopika ili umpe sense ya kujifeel muhimu la sivyo atakuwa desperate kutafuta kitu kikubwa zaidi cha kukuumiza nacho. Bora umuachie kupika tu ndo iwe silaha yake.
Kwani House Maids si wapo na wanalipwa na BabaKiujumla wanaume wanatakiwa wajifunze kazi za nyumbani na kuyachukulia kama majukumu yao haijalishi wameoa au la na siyo tu kwa sababu ya mke akigoma kufanya dunia imebadilika siku hizi hakuna tena mgawanyo wa majukumu kama zamani, siku hizi mtu yeyote anafanya kazi yoyote isipokuwa yale majukumu ya kimaumbile tu kama siku hizi wanawake wanafanya majukumu ya wanaume kwanini wanaume nao wasifanye majukumu ya wanawake, ndio maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa maana wanajua wanaenda kubebeshwa mzigo wa majukumu tu huko kwenye ndoa huku wanaume wakijichagulia majukumu machache
Wakati mwingine hata akikunyima tendo lalamika na jifanye kuwa umeumia sana ili ajie kama na hiyo ndio silaha yake afadhali upigwe na silaha ambayo haiumizi lakini wewe lia kwa maigizo kuliko kumcheka na kumwambia haiumii...atatafuta silaha nzitona kukuua
Mbinu za guardiola hizoi 😂😂😂😂Hii ni.hekima
Upo sahihiMmoja ni mama tu, hao wengine weka idadi kadri itakavyo kupendeza
😀😀😀 Shikamoo dadaUpo sahihi
Mmoja ni baba tu
Marahaba😀😀😀 Shikamoo dada