Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

Asipopika tafuta house girl mzuri akupikie alafu msifie sana,mke akijifanya anashangaa muulize unashangaa nini kwa sauti ya kibabe.
 
Hayo majukumu yatafanyika kama mwanamke ni mgonjwa tu.
 
Wakati mwingine hata akikunyima tendo lalamika na jifanye kuwa umeumia sana ili ajie kama na hiyo ndio silaha yake afadhali upigwe na silaha ambayo haiumizi lakini wewe lia kwa maigizo kuliko kumcheka na kumwambia haiumii...atatafuta silaha nzitona kukuua
 
Kwani House Maids si wapo na wanalipwa na Baba
 

Hii ni.hekima
 
Hadi papuchi ilibidi akupe ingali mmenuniana hivyohivyo...ila kama wewe ni kichwa Cha familia
 
Mmoja ni mama tu, hao wengine weka idadi kadri itakavyo kupendeza
 
Kama kungekua na second life
Katika kuchagua mwanaume
Mwanaume asie jua kupika nisingemkubali
Kuna wanaume hata ukiumwa hawezi kuchemsha chai kwenye gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…