Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

Umepanic.. kunywa maji kwanza alaf upate hata acetaminophen, then urudi nikuelezee jinsi ulivyoandika pumba
Utajiju sina muda nawewe kwanza namuda na mambo yangu niumize kichwa kwa wewe nope.
 
Utajiju sina muda nawewe kwanza namuda na mambo yangu niumize kichwa kwa wewe nope.
Utajiju ndo nini? namuda ndo nini? Jitahidi pia unavyoandika acha nafasi kati ya neno na neno..

Kumbe tatizo kichwani hakuna shule, na ndo maana unaandika pumba
 
UMELOGWA WEWE SIO BURE
 
Utajiju ndo nini? namuda ndo nini? Jitahidi pia unavyoandika acha nafasi kati ya neno na neno..

Kumbe tatizo kichwani hakuna shule, na ndo maana unaandika pumba
Wewe huna hela umefulia unechoka kananilii kako kamesinyaa kanaangaliana kwa uzuni.
 
Wewe huna hela umefulia unechoka kananilii kako kamesinyaa kanaangaliana kwa uzuni.
Jione hata unavyowaza na unayoyazungumza, mkizalishwa mkiachwa mnaanza kulaumu. Bila shaka wewe ni single mother.

Huna maadili kabisa, na hata kumpata mwanaume wa kukupa hela kwa wewe itakuwa ngumu sana. No wonder una miaka Saba huna mwanaume, hakuna mwanaume mwenye akili timamu akawa na mwanamke kama wewe.
 
Huna akili ndio maana najitambua sijaona nikiona nitajiachia huwezi kujiachia tu kwa mafala kama nyie niishilie najutia
 
Hujui mapenzi kabisa unachojua wewe ni tamaa tu.
Narudia tena hujui mapenzi.
Am sorry for you woman.
 
Itakua unafanya biashara wewe....Tafuta hela kwa njia halali binti ili usimpe stress huyo jamaa yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…