Kama kulala Polisi ni sifa, endelea kulala ili uzidi kukamilika.Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
Sio hivyo tu ukiingia unakaribishwa na harufu ya mikojo na mavi na hio ipo chini sio kwenye ndoo watu wanakunya na kukojoa ovyo ovyo humo humo, km hujawahi kuingia siku moja nenda kaombe wakulaze hata usiku mmojaDah jambo fikirishi sanaaa
Mle selo kukaa peku, chumba kidogoo, mwakojolea kwenye chupa za majii, umbuu kung'ataa, mmechanganywa kila mmoja na hali yakee duuuuu.....
JehanamuKwanini hujakamilika? Kulala kule sio sifa.
KuzimuKwamba!