Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
Come on my late Great Grand parents down to me soon seventy years never have seen a police station desk.
 
Ongezea nyama mkuu kulala selo kwa kosa gani? Aliyelala selo kwa kosa la kumpiga mkewe naye ni mwanaume?
 
Hapafii kabisa
Ushawahi kulala mule ukiingia kila mmoja ana story yake iliyomfikisha na wote lazima msimuliane umeingiaje mule unajikuta umekaa na muuaji wa kutumia silaha butu pembeni yako wakati huo wewe kosa lako ni la kijingajinga tu ndio limekuingiza mule na wala hukutakiwa kuwa mule ila hasira zako na kushindwa kuzuia hasira zako unajikuta upo mule
 
Sijalala na sidaiwi na mtu, kama ni deni tumekubaliana hilo ni deni la mama, atasaidia na vinyozi wake kulipa, na wale wajukuu wake, na wale wapika kitumbua cha mama
 
Inategemea ila kulala sero kwa tukio la kupigana au kugombana na watu huo si ujanja ni upuuzi.
 
Namshukuru Mungu sijawahi na namuomba Mungu aniepushie mbali .
Mambo mengine sio ya kujisifia
 
Sijalala na sidaiwi na mtu, kama ni deni tumekubaliana hilo ni deni la mama, atasaidia na vinyozi wake kulipa, na wale wajukuu wake, na wale wapika kitumbua cha mama
aah ndugu yangu mambo ya maisha tu japo nilionewa ila nakiri nilikosea pia nilijifunza na kuanzia hapo najitahidi sana kuwa calm
 
Sio hivyo tu ukiingia unakaribishwa na harufu ya mikojo na mavi na hio ipo chini sio kwenye ndoo watu wanakunya na kukojoa ovyo ovyo humo humo, km hujawahi kuingia siku moja nenda kaombe wakulaze hata usiku mmoja
Huu uongo
 
Back
Top Bottom