Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

Hizi ni akili za watu Maskini.
Na sanasana kwa watu ambao hawaelimika.
Zipo Sana kwenye vijiwe vingi.

Alafu kauli hizo zinaenda sikiishi muda mrefu zinakuwa utamaduni Kwa jamii ya watu duni
 
Hizi ni akili za watu Maskini.
Na sanasana kwa watu ambao hawaelimika.
Zipo Sana kwenye vijiwe vingi.

Alafu kauli hizo zinaenda sikiishi muda mrefu zinakuwa utamaduni Kwa jamii ya watu duni
Eti tunaambiwa kipimo cha uanaume nikulala selo. Sijui binadamu tunawaza nini? Yaani mtu anataka experience anayopitia kila mtu aipite, dunia haipo hivyo, Destiny and fate are different: fate is what happens to you, while destiny is what you’re meant to achieve.
 
Ni mawazo ya watu Maskini na ambao Wana negative mind
 
Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
Japo sio wote wana hatia, sidhani kama ni sifa kulala selo.

Ifike mahali mateso na sifa za uanaume zibaki zile za kijamii na kibaiolojia na sio mapito. Hebu niambie lini kikwete alilala selo, lini mkwelima wa taifa kalala selo? Sio mtu likikukuta jambo, unakimbilia sosho midia kutangaza kuwa umekuwa mwanaume kamili.

Kuna watu wanashindana mbio na milio ya risasi kila siku misituni kwenye nchi zenye vita mfano Kongo. Utajilingamisha naye wewe mlala selo? Na wanawake ambao wameshawahi kulazwa vituoni na magerezani, nao wajiite wanaume? 🤔🤔🤔🤔
 
Kuna mtu nilimkatia rb polisi niliangalia tu chumba cha mahabusu nikaona huruma.Usiwadanganye wenzio huko sio kuzuri hata kidogo
 
Back
Top Bottom