Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

Dah jambo fikirishi sanaaa

Mle selo kukaa peku, chumba kidogoo, mwakojolea kwenye chupa za majii, umbuu kung'ataa, mmechanganywa kila mmoja na hali yakee duuuuu.....
Sio poa
 
Dah jambo fikirishi sanaaa

Mle selo kukaa peku, chumba kidogoo, mwakojolea kwenye chupa za majii, umbuu kung'ataa, mmechanganywa kila mmoja na hali yakee duuuuu.....
Sio hivyo tu ukiingia unakaribishwa na harufu ya mikojo na mavi na hio ipo chini sio kwenye ndoo watu wanakunya na kukojoa ovyo ovyo humo humo, km hujawahi kuingia siku moja nenda kaombe wakulaze hata usiku mmoja
 
Tuliotekwa na wasiojulikana wavaa kaunda na kutupwa maporini tukutane jioni kwenye kikao labda serikali walimalizana na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…