MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,676
Reaction score
3,143
Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi.

Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea ikiwa bado hiyo kauli wanaifanyia maamuzi. Tofauti na sisi wanaume. Na ili umjue mwanamke inahitaji muda. Zingatia neno kumjua. (Kuna tofauti ya kumjua na kumfahamu)

Hivyo basi Wanaume tusichukulie kauli za wanawake seriously mpaka kutoa maamuzi ya kweli. Cha msingi ni kufanya wana vyotaka wao ili maisha yeandelee.

Mathalaani Mwanamke anadai Talaka yake Muandikie umpe haraka. Na ikumbukwe mwanamke ameumwa kwa ajili ya mwanaume. usibishane naye. Sababu wewe umeumbwa kumzidi akili na maarifa amini kwamba unampa fursa ya kwenda kujifunza maisha.

Na kwamba wanaume wote tunanafafa tabia. Atakutana na mwanaume ambaye atafanya makosa makubwa yako ayaone madogo. Na kuhusu tendo amini kwamba hakuna jipya kikubwa ulikuwa una mkojolesha na humkuta bikra. Vumilia kiume na utafute utulivu. ( Utulivu unaa ambatana na ukimya).

Utulivu wako ndiyo mbao utampa maumivu makali ya kiakili.. Hivyo basi nawasihii wanaume wenzangu tujifunze ukimya. Kuokoa mahusiano ukiwa mkimya utajua kila. Kitu. Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom