thegreatchief
Member
- Oct 19, 2012
- 62
- 68
Sijakasirika bhana....hasa nikasirike kwani mimi ndiye ninayehitaji huyo mtu.....[emoji23][emoji23]sasa mbona unakasirika!?
kwani kuna sehemu yoyote nimekukwaza??
Au sina haki ya kufanya maamuzi kwa wakati nitakapojiridhisha?
Usichukie nikiwa tiyari nitakujuza
Sijakasirika bhana....hasa nikasirike kwani mimi ndiye ninayehitaji huyo mtu.....[emoji23][emoji23]
Sawa binti malikia umeshindaSasa Ukihitaji si unasema!? Au nakosea mkubwa mwenzangu haha
sasa mara mbwembwe!
mara uvumilivu!
Mahusiano ni hisia sio shurti hahaa
Sawa binti malikia umeshinda
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Kakijana kadogogo hutaki. Atlist unipunguzie ugumu wa maisha.
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
salama karibuHi,hope is well with you,nadhan na fit iyo position
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa unajibu jeuri unategemea msaada utakuja.....?!ili tubaki kwenye maada maelezo hayo itabidi nikupe wewe binafsi kama hutojali. na kama unakidhi vigezo cha anayehitajika
Mkiambiwa ndoa ina umuhimu wake na inapaswa kuheshimiwa mnaongea majibu ya kejeli na madharau. Umri ukienda majukumu yakiwazidi attention ikipungua kitaa ndipo mnaona umuhimu wa kutulizana na mwanaume kufanya maisha.
Sasa wewe kwa akili zako unategemea mwanaume wa vigezo unavyotaja atakuwa tu yupo sehemu kajibanza anakusubiria uje muanze hayo maisha.
Aiseeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways in 10 to 20 years to come watoto wa kike kuna mambo mengi sana mtajifunza. Na kama itafaa mkisoma nyuzi tunazoandika hapa na namna huwa mnatujibu as if sisi wanaume ndoa kwetu ni muhimu kuliko ninyi, mtaelewa why maandiko yalisema wanawake muwatii wanaume zenu na wanaume muwapende wake zenu.
Sasa unajibu jeuri unategemea msaada utakuja.....?!
Kuwa straight forward sema unataka mwanaume wa kukutoa genye tu ukitaka ndoa tena unajitafutia maumivu mengine kwako wewe na kwa watoto wako, kwa ushauri wangu tafuta kijana ambaye anajitambua awe anakuburudisha taratibu in a descret way hao kuanzia 40 wenyewe utakuta wanamatatizo Kama wewe na pia kwa umri huo nadhani kuna namna utahitaji uhuru kucontrol maisha yakoKama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Uko tayari kufanywa Kila siku?Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Huyo mwanaume unayemuelezea sifa zake mbona ni mume wa mwenzio kabisa. Au unataka kuolewa mitala