Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

sasa mbona unakasirika!?

kwani kuna sehemu yoyote nimekukwaza??

Au sina haki ya kufanya maamuzi kwa wakati nitakapojiridhisha?

Usichukie nikiwa tiyari nitakujuza
Sijakasirika bhana....hasa nikasirike kwani mimi ndiye ninayehitaji huyo mtu.....[emoji23][emoji23]
 
Sasa Ukihitaji si unasema!? Au nakosea mkubwa mwenzangu haha
sasa mara mbwembwe!
mara uvumilivu!

Mahusiano ni hisia sio shurti hahaa
 
Uzi umeeutendea haki sana kwa majibu yako na utulivu...!!!

Huyo utakayempata inaonekana atafaidi vingi.
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Kakijana kadogogo hutaki. Atlist unipunguzie ugumu wa maisha.

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
 
Mkiambiwa ndoa ina umuhimu wake na inapaswa kuheshimiwa mnaongea majibu ya kejeli na madharau. Umri ukienda majukumu yakiwazidi attention ikipungua kitaa ndipo mnaona umuhimu wa kutulizana na mwanaume kufanya maisha.

Sasa wewe kwa akili zako unategemea mwanaume wa vigezo unavyotaja atakuwa tu yupo sehemu kajibanza anakusubiria uje muanze hayo maisha.

Aiseeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways in 10 to 20 years to come watoto wa kike kuna mambo mengi sana mtajifunza. Na kama itafaa mkisoma nyuzi tunazoandika hapa na namna huwa mnatujibu as if sisi wanaume ndoa kwetu ni muhimu kuliko ninyi, mtaelewa why maandiko yalisema wanawake muwatii wanaume zenu na wanaume muwapende wake zenu.
 
ili tubaki kwenye maada maelezo hayo itabidi nikupe wewe binafsi kama hutojali. na kama unakidhi vigezo cha anayehitajika
Sasa unajibu jeuri unategemea msaada utakuja.....?!
 
Mkiambiwa ndoa ina umuhimu wake na inapaswa kuheshimiwa mnaongea majibu ya kejeli na madharau. Umri ukienda majukumu yakiwazidi attention ikipungua kitaa ndipo mnaona umuhimu wa kutulizana na mwanaume kufanya maisha.

Sasa wewe kwa akili zako unategemea mwanaume wa vigezo unavyotaja atakuwa tu yupo sehemu kajibanza anakusubiria uje muanze hayo maisha.

Aiseeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways in 10 to 20 years to come watoto wa kike kuna mambo mengi sana mtajifunza. Na kama itafaa mkisoma nyuzi tunazoandika hapa na namna huwa mnatujibu as if sisi wanaume ndoa kwetu ni muhimu kuliko ninyi, mtaelewa why maandiko yalisema wanawake muwatii wanaume zenu na wanaume muwapende wake zenu.

Umeandika kama vile unajua sanaaa

Jaribu kujitafutia utulivu wa akili kwanza Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Nimekuja DM lakini inaonyesha kam kwako haijaingia. Hebu zama kwangu fasta
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Kuwa straight forward sema unataka mwanaume wa kukutoa genye tu ukitaka ndoa tena unajitafutia maumivu mengine kwako wewe na kwa watoto wako, kwa ushauri wangu tafuta kijana ambaye anajitambua awe anakuburudisha taratibu in a descret way hao kuanzia 40 wenyewe utakuta wanamatatizo Kama wewe na pia kwa umri huo nadhani kuna namna utahitaji uhuru kucontrol maisha yako
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Uko tayari kufanywa Kila siku?
 
Back
Top Bottom