Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Unaonekana unaakili mingimingi, very nice to you••ila sasa wanaume wengi wanapenda wawazidi wanawwake zao Kwa kila kitu
Mungu akujalie upate Hitaji la moyo wako though 🙏

Asante sana. Ila siwezi kumzidi mume kwenye akili za mahusiona. Wanaume siku zote wana nafasi yao. Labda agome tuu kuiishi hiyo nafasi
 

Umesema kweli kabisa.
 
Bamia likisha komaa halifai tena kwa mchuzi labda kwa mlenda ndo linatumika,

Tunatofautiana ila wewe unashindwa kutofautisha upendo na mapenzi.
Penye upendo hutakaa uone bamia limekomaa.

Utaelewa tuu sababu uzuri wetu hutakua 20 forever

Tuheshimu hisia za watu wengine
 
Kwa kweli ndoa ni kitu kigumu. Una degree mbili na talaka juu? Nadhani wanaoweza kumudu mikiki Miki ya kwenye ndoa ni std 7 Hadi diploma .huko kwingine unanunua matatizo.

Yaani ana shahada mbili na talaka juu! Mkuu hapa sio kama unanunua tatizo tu bali pia unajitengenezea bomu la nyuklia.
 
Hahahahahaaaaa.....Hapo pa kudarizi andawea za kike pamenivunja mbavu...Hahahahaa..
 
Watoto watatu??,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikubali kubebeshwa limzigo la mtu aseee
Huyu akiwa anasoma chuo kikuu alikuwa ameolewa huko chuoni, wakati huo huo uraiani alikuwa mke mtu mwingine . Amemaliza chuo akakutana na talaka ya mume wa uraiani sasa natafita mume wa tatu uraiani baada ya wawili wa awali kumkataa. Baki na masters yako na watoto watatu tu mama na umrinumesonga mbele na maisha ni magumu. Wengi wetu tunahitaji walio zaliwa 2000- 2003
 
[emoji23][emoji23][emoji23] buza kwa lulenge[emoji23] wanao wanajua kuwa umekosa mume mtaani kwenu hadi ukaamua kuja mitandaoni kuweka tangazo la kutafuta mume??

Kusema mtu anaweza kukosa mume wakati ameacha mume kwa hiari, na mtaani anaishi na wanaume unakosea. Rudi usome kuanzia title
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…