Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Aisee!! weka picha yako basi
 
Mimi naogopa sana kufwata hawa wanawake wanaowawekea conditions wanaume. Kuna mmoja alitoa tangazo hapa na masharti mengi nilivyomfwata huko chumba cha siri
Hata sikuamini kachoka sana maisha yamempiga lakini vigezo alivyoweka utamhurumia
Nikajua huyu ana shida ya akili
By default asilimia kubwa ya wanawake .. BAADHI hujiweka kuwa high value, ni design flan ya defensive mechanism wanayotumia..

Ndio maana sio kitu cha kushangaza ukamsalimia dem akakuangalia kwa dharau tu! Hata kama hana uzuri uwezo wala hadhi !!
 
Hapa wanatafutwa wa kugegedana tu ngoja nije mm tugegedane mm Nina watoto wanne Kila mtu na mama Yake Kaz yangu Ni dereva bajaj mwenge elimu yangu Ni ka degree kamoja ka IT,kadegree kamoja ka microbiology and forensic science (Australia) na ka diploma kamoja ka conflict mangmnt ,umri miaka 48 kwa Sasa Sina pesa ila Nina akili ya kutafuta pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Ashindwe yeye tu yaani [emoji1373][emoji1373]
 
Umri wangu umenikosesha Bahati daah, nipe basi hata kazi ya kukukuna tu siwezi shindwa. Natamani ni date na wamama walioko kwenye 35 hadi 40. Age mate wangu kila siku visanga, niruhusu nije nikuondoleebupweke.
 
Kwa kweli ndoa ni kitu kigumu. Una degree mbili na talaka juu? Nadhani wanaoweza kumudu mikiki Miki ya kwenye ndoa ni std 7 Hadi diploma .huko kwingine unanunua matatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Moyo wangu umekudondokea[emoji8]
 
Unaonekana unaakili mingimingi, very nice to you••ila sasa wanaume wengi wanapenda wawazidi wanawwake zao Kwa kila kitu
Mungu akujalie upate Hitaji la moyo wako though 🙏
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Dah....nguvu za misuli siyo lazima? [emoji2960]
 
Jambo usiloijua usinichukie bango kulitetea....
Mimi sijui hii post ni ya lini lakini ninachotaka kusema jf lilikuwa jukwaa matured wakati linatoka jambo kuwa jamii na siku kadhaa mbele, sasa hivi si jukwaa la weledi tena ni la watoto wengi sijui au limekumbwa na kadhia ya wingi wa smart phones! Hivyo unaweza kuwa serious umeweka hoja yako lakini wanatokea wa kui personalize utadhani wakati unaiandaa mlikuwa wote au walikupa wao mawazo hayo!

Inafikia mahala jukwaa kutokuaminika kati ya mtoa post na mchangiaji huwezi kujua mkweli nani!
 
Mimi naogopa sana kufwata hawa wanawake wanaowawekea conditions wanaume. Kuna mmoja alitoa tangazo hapa na masharti mengi nilivyomfwata huko chumba cha siri
Hata sikuamini kachoka sana maisha yamempiga lakini vigezo alivyoweka utamhurumia
Nikajua huyu ana shida ya akili

Alikuwa ameweka vigezo gani?
 
Back
Top Bottom