Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

daah arooo mkuu unavunja mbavu aisee
 
Nan atafute matatizo....hahhaha...yaa. Kabisaa...hyo cv yako hapo na majibu yako kwa wadau...huna hofu ya mungu.hahahahah....ni matatizo wadau hapo...usijesema hatukukwambia...

Au kama unataka kwenda pima oil tuu...ahhh fresh...

Yaan dada umeshindwa pata bwana hata dereva wa uber huko mtaan unakuja tafta bwana huku kwa sie watu wa masihara meng.?hahahha
 

kwako wewe madereva uber sio wanaume kama ulivyo Wewe au unamaanisha nini
 
Reactions: y-n
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
PM Yangu Ipo Wazi Tahadhali Sana Karibu
 
Hongera[emoji23][emoji23][emoji23] ila hujatupa mrejesho kama umepata au wote wanakuona umechezea ujana alafu unatafuta mtu wa kumletea stress zako??
Ngongingo kazi yake kubwa ni kuamsha mshanjamu na kusogeza mashabiki karibu na uwanja. Ni kama kachumbari ya mbilimbili kwenye nyama ya mbuzi ya kuchoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi wewe una umri gani😂😂😂😂
Hujielewi hadi huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…