Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Unampa misimbazi anakupa maku kidogo ili kulinda njaa zake then anakwenda kumpa free anpendayeHaaah ndo saivi tunapoelekea yaan kumpa pesa sio njia ya kuonyesha unapendwa ila anakufanya lofa aisee kila mtu abaki na zake"Kwani kipi nisichokijua ina TV ndani by Mwana F.A aaah waswahili pia wanasema "Wajinga ndio waliwao hapo hata penzi hajakupa mizinga yote afu unazania utatoboa ewe mwanaume amka from Armando hapa.
Hapa ndo inapoumaga sana. Au ile hela uliyompa anaenda kuitumbua na ampendayeUnampa misimbazi anakupa maku kidogo ili kulinda njaa zake then anakwenda kumpa free anpendaye
Tena ni uchizi kabisaWanaume wengi ni wajinga sana! Mtu unatumiaa pesa kibao Kwa mwanamke halafu faida ni kupewa penzi [emoji38][emoji38]binafsi kabla sijatoa hela yangu huwa nafikiria sana jinsi nilivyoipata. Huwa nawaza sana kwamba ntafaidika na nini?? Yaani penzi tu mtu ndio utoe hela hovyohovyo? Kama ni penzi si raha tunapata wote? Imagine mtu umehangaika tangu asbh umepata 30000 halafu demu wako anakuomba 20000 na wewe unatoa kweli! Halafu Unabaki na ten[emoji1787][emoji1787]akili ni mali vijana
Hata jero sijampa.Wewe umeshampa laki moja yule dada wa watu kama ulivyomwshidi?
Me hata Kama Ni haki yako sijawah ombwa pesa nikatoa siku hio hio lazima nkuzungushe,umesem ukwel kila unavyozidi kutoa ukiisi utapendwa ndio unaavyozid kuonekana pimbi
Sawa mkuu .Kumpa sio tatizo kama mpenzi sasa inakua anakupanga daily kuna watu hapa akiona simu ya mama au baba yake akiombwa analalamika chukua hiii demu daily akiomba 10000*30=300,000 kwa mwezi afu baba yako au mama unamtumia 50000 yaan laki 3 tayari tofali 300 bado tofali 150 chumba kimoja ni hayo tu hawana fadhila mkigombana kashfa kibao.Unampa misimbazi anakupa maku kidogo ili kulinda njaa zake then anakwenda kumpa free anpendaye
Wanahonga 300k kwa mwezi ili siku wakigombana waitwe kibamiaSawa mkuu .Kumpa sio tatizo kama mpenzi sasa inakua anakupanga daily kuna watu hapa akiona simu ya mama au baba yake akiombwa analalamika chukua hiii demu daily akiomba 10000*30=300,000 kwa mwezi afu baba yako au mama unamtumia 50000 yaan laki 3 tayari tofali 300 bado tofali 150 chumba kimoja ni hayo tu hawana fadhila mkigombana kashfa kibao.
Na ndio maana mara nyingi napenda kuwa nafasi ya ampendayeHapa ndo inapoumaga sana. Au ile hela uliyompa anaenda kuitumbua na ampendaye
Hatari mkuu.Wanahonga 300k kwa mwezi ili siku wakigombana waitwe kibamia