Mwanaume kila unapoombwa pesa na mwanamke ukitoa unaonekana mjinga

Sio kupendwa utatimiziwa haja zako kwa sababu unatoa pesa
Utapendwa .... Yaani ukiingia tu sehemu wanawake wanfurahia uwepo wako. Especially ukiwa mtu Mwema na mwenye Tabia nzuri na heshima.
 
Exactly, wanawake sio wakuwasaidia kabisa,labda mke na ndugu
 
.
Ishu sio kumpa mwanamke pesa, ishu ni una spend vipi hizo pesa wewe na yeye kutengeneza lovely & unforgettable experience.
 
Pesa yakutfta kwa jasho lako mwenyewe huwez kuonga kirahisi labda kama pesa zako ziwe zinapatikana Kwa njia za panya ila Ile jua na mvua vyote vyako January to disemba.huwez honga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…