Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

mwanamke ambaye aliwahi kunitamkia uso kwa uso kuwa mimi sio hadhi yake, sio handsome anaowatafuta etc ndio mwanamke ambaye sasaivi ana mtoto wangu kila mwisho wa mwezi anasumbua simu nimtumie matumizi ya mwanangu, na mimi nalea na yeye nampa ya kula vilevile as a friend. ila alinichamba balaa siku ya kwanza na nikimwangalia naona inatoka moyoni, nikarudia tena nikamsogeza within a week afu akanikera nikamwambia basi kila mtu achukue hamsini zake....hahaha huwezi amini within just a week alipiga magoti kama mimi padri anaomba msamaha nisimuache kwasababu haoni kama atapata mwanaume mwingine mwenye kumjali mwanamke, alinisumbuaaaa siku moja tuko kwenye majambo nikaona kama utani akiwa amekolea anatamka maneno yake ya kichaga ati anataka mimi nimpe mimba abaki na damu yangu, alihamia kwangu miezi kadhaa akapata mtoto wangu akaondoka naye, na kweli amebaki na damu yangu. alisema anajua mimi sitamuoa kwasababu tiari nilikuwa na ndoa, lakini anataka tu abaki na damu yangu....nilicheka sana.
 
Hapana. Mkaka mzuri tu na nilimsifia kwa driver wetu mmoja naona kaenda kumjaza basi na yeye akaja na kigezo chake cha udereva apate papuchi
Daah! Alitaka kuendesha papuchi kirahisirahisi hivo?! Give him a lifetime ban....hahahahah
 
Naona mkuu umepata mahali pa kufanyia marketing hahaha.

Wapiga kelele mara nyingi siyo watendaji, punguza kelele.
sawa mzee, we kwenda, huwa sibishani na wanaume manake utanipa nini, bora kwenye suala hili nijibizane na wanawake ambao wanaweza kunipatia kitu, kwani wewe una nini cha kutoa?
 
sawa mzee, we kwenda, huwa sibishani na wanaume manake utanipa nini, bora kwenye suala hili nijibizane na wanawake ambao wanaweza kunipatia kitu, kwani wewe una nini cha kutoa?

I was just giving you strategies, you can take it or leave it.

Wahenga huwa wana msemo wao wa debe tupu haliachi kupiga makelele, ukiongea ongea sana utashtukiwa. Just keep it cool.
 

Sasa nimekuelewa, asante kwa kunipa notice za wapi nianzie.

Cc Mzigua90 asante sana mchumba kwa kuanzisha hii thread.

Kuna mtu naomba asione hii thread.
 
Unasubiri subiri kutoa la moyoni ukishtuka wenzio wanakula
 
Mi kauzu kweli mtu akinitongoza lazima awaze. Mtaani ndo kabsaaaaa maana sinaga habari ni mambo poa nimepita. Wanaishia kula kwa macho
 
Okay mkuu nimekuelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si najijua ndo maana nasema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huwezi kujijua isipokuwa wana jamii ndio tunaokujua kwa kukuona Mzigua

Ukiwa mzuri sana wanaume wengi wanakuwa wanakugwaya kwa kuhofia kuwa huenda unamilikiwa/unatakiwa kumilikiwa na mwanaume wa hadhi ya matawi ya juu sana
 
Hahahahahaha......mbona kawaida tu, huko huwa tunatoa mapepo kitaalamu zaidi ikiwa ni pamoja na kutumia mbinu ambazo hujawahi kuziona au kuzisikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nitakaribia huko
 
Sijampenda kimapenz bwana na siwez kutoka na mtu tuonana karibia kila siku tena ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…