Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
mwanamke ambaye aliwahi kunitamkia uso kwa uso kuwa mimi sio hadhi yake, sio handsome anaowatafuta etc ndio mwanamke ambaye sasaivi ana mtoto wangu kila mwisho wa mwezi anasumbua simu nimtumie matumizi ya mwanangu, na mimi nalea na yeye nampa ya kula vilevile as a friend. ila alinichamba balaa siku ya kwanza na nikimwangalia naona inatoka moyoni, nikarudia tena nikamsogeza within a week afu akanikera nikamwambia basi kila mtu achukue hamsini zake....hahaha huwezi amini within just a week alipiga magoti kama mimi padri anaomba msamaha nisimuache kwasababu haoni kama atapata mwanaume mwingine mwenye kumjali mwanamke, alinisumbuaaaa siku moja tuko kwenye majambo nikaona kama utani akiwa amekolea anatamka maneno yake ya kichaga ati anataka mimi nimpe mimba abaki na damu yangu, alihamia kwangu miezi kadhaa akapata mtoto wangu akaondoka naye, na kweli amebaki na damu yangu. alisema anajua mimi sitamuoa kwasababu tiari nilikuwa na ndoa, lakini anataka tu abaki na damu yangu....nilicheka sana.Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.