Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Toka siku nimekuona kiukweli naweweseka sana!hunitoki akilini kabsa mzigua!hadi nimejitoa kukufata tambua akili zangu zilianza kuwehuka ukichukulia usiku sipati usingizi nikikuwaza.nakupenda kweli kwa dhati niamini uniachie moyo wako wote sitakuja kukuumiza.
Kweli nimeona wengi kote nnapopita lakini we ndo ndio chaguo langu.
Hakuna mwingine atakaeniondoa katika hali hii isipokuwa wee mzigua.


Nipe max hapo mzigua90 kama mistari hiyo nakushushia huku nanyenyekea na magoti napiga hahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana kutongozana kizamani mi siwezi.
 
Hata km amekukosa pia usijipe guarantee km kila siku utakua unafuatwa tuu ..umri pia unaenda ....
 
Huu ni ukweli, me nakula dakta japo na kidigree changu akina kazi, ila huwa nikipiga biti ni kama me ndio dakta. Penda sana my better half.
 
Ingekuwa kujiamini tuu kunafanya upate demu .. Bhas nafkir ma baunsa na ma bondia wangekuwa wanajilia watoto wazur wao peke yao...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana kutongozana kizamani mi siwezi.
Tatizo wanawake wa kibongo appointment hawazijui.
Anyway tunakutana sehem baada ya salam na kukutolea tabasam zito nakuuliza lini utakuwa na muda nikualike lunch,breakfast au dinner??!!sawa tunakubaliana kwamba day after tommorow dinner sehemu flani pia kwa ajili ya kufahamiana vizuri.
Inafika siku unazingua hufiki si bora uchelewe but ufike na ton of excuses!
Simu unazima!it doesnt work like that!
Sasa nifanyaje acha nikutongoze kitoto tuuu na uongoo kibao ili nimege
 
Back to the room we had, what went wrong?
 
Labda hajakupenda jamani anakuja kula tu na kunywa sasa awahi kufanya nini [emoji16][emoji23][emoji23]
 
Nipe mawasilano nije maana nshapata kujiamini sasa. Kumbe ni simpo tu ivo dah! Sijui nilikua wapi siku zote. Nakuja huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…