Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si najiamini!!!!Sasa unanitongoza nini wakati we mwenyewe unaona kabisa utakula za uso?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana kutongozana kizamani mi siwezi.Toka siku nimekuona kiukweli naweweseka sana!hunitoki akilini kabsa mzigua!hadi nimejitoa kukufata tambua akili zangu zilianza kuwehuka ukichukulia usiku sipati usingizi nikikuwaza.nakupenda kweli kwa dhati niamini uniachie moyo wako wote sitakuja kukuumiza.
Kweli nimeona wengi kote nnapopita lakini we ndo ndio chaguo langu.
Hakuna mwingine atakaeniondoa katika hali hii isipokuwa wee mzigua.
Nipe max hapo mzigua90 kama mistari hiyo nakushushia huku nanyenyekea na magoti napiga hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi heriiiii
Hata km amekukosa pia usijipe guarantee km kila siku utakua unafuatwa tuu ..umri pia unaenda ....Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Ingekuwa kujiamini tuu kunafanya upate demu .. Bhas nafkir ma baunsa na ma bondia wangekuwa wanajilia watoto wazur wao peke yao...Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Tatizo wanawake wa kibongo appointment hawazijui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana kutongozana kizamani mi siwezi.
Back to the room we had, what went wrong?Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Labda hajakupenda jamani anakuja kula tu na kunywa sasa awahi kufanya nini [emoji16][emoji23][emoji23]Tatizo wanawake wa kibongo appointment hawazijui.
Anyway tunakutana sehem baada ya salam na kukutolea tabasam zito nakuuliza lini utakuwa na muda nikualike lunch,breakfast au dinner??!!sawa tunakubaliana kwamba day after tommorow dinner sehemu flani pia kwa ajili ya kufahamiana vizuri.
Inafika siku unazingua hufiki si bora uchelewe but ufike na ton of excuses!
Simu unazima!it doesnt work like that!
Sasa nifanyaje acha nikutongoze kitoto tuuu na uongoo kibao ili nimege
Nipe mawasilano nije maana nshapata kujiamini sasa. Kumbe ni simpo tu ivo dah! Sijui nilikua wapi siku zote. Nakuja hukoWanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.