Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Hii ni kwa wanawake pia ambao hawajiamini kwamba wanaweza kuwa na njemba mwenye muonekano au status A au B. Saa zote huwa na wasiwasi kwamba hapendwi na hata kuanza kujenga chuki dhidi ya KE wengine kisa tu ni
wasiwasi wake hao KE wengine wana mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wake. KUJIAMINI KWENYE PENZI NI MUHIMU SANA.
Hebu agiza maji kakangu ntalipa
 
Yaan la moyoni kabisa hivi nianze kumnunia shemeji yako kwa kuqoutiana na wanawake wa jf au waliolikes post zake si nitawanunia wote sifanyagi huo ujinga nadeal nae yeye tu hao wengine watajua wenyewe huko
Ntaanza kukuchamba mimi maana wivu huo wa kijinga. Kwanza unaona wivu humu wakati nyumbani umeacha mume akili hiyo kweli
 
Mi sijasema hivyo mkuu. Wewe alikukataa labda kwa sababu zake sio umatawi jamani
Unajua kuna dalili unazoziona unapozungumza na mtu.
kuna wadada hata kama yupo njema
unamkuta yupo humble na hajali hali yake
ya kuwa na mali au kwamba kwao wako vyema
anachat na kila mtu na yupo poa na watu wote.
kuna wengine sasa,kama kwao kuna kile
kimtungi cha cool blue sebureni kwao
ndo utamkoma,kumbe hajui hayo ni maisha
ya baba yake na mama yake.
Nawasihi kuheshimu wanaume huwezi kujua
kesho nai atakuwa nani.
 
Ntaanza kukuchamba mimi maana wivu huo wa kijinga. Kwanza unaona wivu humu wakati nyumbani umeacha mume akili hiyo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nashangaaaa mie huo wivu vipiiiii jamani khaaaa halafu ndio tuanze kugombana majukwaani mxxiuuew
 
Wala sio ndululu kujiamini tu. Nina rafiki angu wa kiume mjinga mjinga na kamla Wema. Tena siku ya kwanza wamekutana
Labda lakini kuna day me nilimtokea demu mmoja nikiwa na kujiamini kwa asilimia mia sema tatizo nilikuwa nimetoka kupiga kazi za shamba afu toto la kishua daa demu aliniona kama ntamchafua yani anaona kama kafatwa na gogo vile ananata ile mbaya na mm nkaona isiwe tabu nikamuacha aende zake nikajua tyu huyu demu anapenda mabishoo ila sisi watu kazi kazi mda mwingi umechafuka anaona humfai
 
Back
Top Bottom