Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooo...okEeeh
em vujisha kdg, mana nimekumbana na hili, mtu ambaye naona kabisa yuko tayr ila hilo tu linamnyima kuvua pichu..Basi tuu.
Nimeona kaka akee mtu kama huyo ushamjua na wewe unazidi tu na matani ukiwaona aliowanunia akufwe kabisaUmeona eh!
Hebu agiza maji kakangu ntalipaHii ni kwa wanawake pia ambao hawajiamini kwamba wanaweza kuwa na njemba mwenye muonekano au status A au B. Saa zote huwa na wasiwasi kwamba hapendwi na hata kuanza kujenga chuki dhidi ya KE wengine kisa tu ni
wasiwasi wake hao KE wengine wana mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wake. KUJIAMINI KWENYE PENZI NI MUHIMU SANA.
Ni ujinga kwa kweli. Jukwaani wala sina shida na nyie ila pm sasa sitaelewa.
Ntaanza kukuchamba mimi maana wivu huo wa kijinga. Kwanza unaona wivu humu wakati nyumbani umeacha mume akili hiyo kweliYaan la moyoni kabisa hivi nianze kumnunia shemeji yako kwa kuqoutiana na wanawake wa jf au waliolikes post zake si nitawanunia wote sifanyagi huo ujinga nadeal nae yeye tu hao wengine watajua wenyewe huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama mm ninavyofanya jukwaani najichekelesha sanaNi ujinga kwa kweli. Jukwaani wala sina shida na nyie ila pm sasa sitaelewa.
Nkiki?
Unajua kuna dalili unazoziona unapozungumza na mtu.Mi sijasema hivyo mkuu. Wewe alikukataa labda kwa sababu zake sio umatawi jamani
Woooooooooooozeeeeer mm aagize anachokunywa chochote nitalipa tena sio kinywaji kimojaHebu agiza maji kakangu ntalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nashangaaaa mie huo wivu vipiiiii jamani khaaaa halafu ndio tuanze kugombana majukwaani mxxiuuewNtaanza kukuchamba mimi maana wivu huo wa kijinga. Kwanza unaona wivu humu wakati nyumbani umeacha mume akili hiyo kweli
Labda lakini kuna day me nilimtokea demu mmoja nikiwa na kujiamini kwa asilimia mia sema tatizo nilikuwa nimetoka kupiga kazi za shamba afu toto la kishua daa demu aliniona kama ntamchafua yani anaona kama kafatwa na gogo vile ananata ile mbaya na mm nkaona isiwe tabu nikamuacha aende zake nikajua tyu huyu demu anapenda mabishoo ila sisi watu kazi kazi mda mwingi umechafuka anaona humfaiWala sio ndululu kujiamini tu. Nina rafiki angu wa kiume mjinga mjinga na kamla Wema. Tena siku ya kwanza wamekutana
Beer gani huyo hawezi kukununulia hizo mambo kunywa catton nzima bill ikuje kwanguBeer itapendeza Sakayo.
Beer gani huyo hawezi kukununulia hizo mambo kunywa catton nzima bill ikuje kwangu
YaaniWoooooooooooozeeeeer mm aagize anachokunywa chochote nitalipa tena sio kinywaji kimoja