Mwanaume kujiliza liza kha!

Mwanaume kujiliza liza kha!

Watu wanasaidiana.siyo kila kitu upewe.Ila wanaume kum bomu mwanamke tu haipendezi,wanaume wa kupenda kuchuna mwanamke wapo sana huku mitaani,unakuta hata ada ya shule watoto wake aliyopewa na mkewe akamsaidie kulipa anaenda kustarehe nayo..wanaume waliaji wanachosha jamani ni mzigo.
 
Mwanaume anayempiga mzinga mwanamke si mwanaume huyo! 'Baby go n' spoil your self' anakushikisha black card. Huyu ndio mwanaume, tena hasubiri uombe. Mwanaume anatakiwa akimuangalia mkewe/mpenziwe usoni ajue tatizo liko wapi na kufanikisha kama sio kutekeleza the soonest possible.

Endeleeni kulia.

Assume wewe ni Presidaa...au waziri, na B.F ni ticha pale mbuyuni primary , unasemaje scenario kama hiyo?
 
[/[COLOR=red said:
Michelle;1871392]Then umfuate mama yako umuoe na kuwa na uhusiano nae wa kimapenziCOLOR].....hakuna anayechuna hapa,tunachunwa na wapenda bure kama wewe.....maskini kama wewe nani akuchune,huo mlupo ulioenda kuuchukua barabarani usiokuwa na hela hata ya betri ya simu usitake kufanya ni kila mtu.....you are cheap ndo maana kwanza kakuomba vitu vya bei che.....wenye hela hawaombwi hela ya betri wala kodi za nyumba,wanaombwa wajenge/wanunue nyumba na kununua simu mpya bora zaidi.....ha ha ha haaaaaaaaaa....jibebe na umaskini wako,ukiona vyaelea ujue vimeundwa babu,we subiri kuundwa tu as hutaki kuunda!

:angry::shock::disapointed:
 
Assume wewe ni Presidaa...au waziri, na B.F ni ticha pale mbuyuni primary , unasemaje scenario kama hiyo?

Kwa vile nina mwanaume haiwezi tokea nikawa na BF.

Kwa assumption yako, prezidaa hana fwedha, labda awe fisadi. Nikiwa prezidaa sitakuwa fisadi so sitokuwa na fwedha kiihivyo.

Assume nimework hard and harder na kupata kumiliki utajiri wa Carlos Slim Helu, basi utakuwa wangu na mwanaume wangu. Majukumu yote yanayohusu pesa na matumizi ya nyumbani ni juu yake. Sijui school fees, vacation, chumvi, sukari, pilipili hoho na carrots, mitoko ya weeks ends, nguo za watoto na kila kitu ni juu yake.

Pesa zangu nanunua vipodozi, nguo na viatu. Si anataka mwanamke mrembo bana, urembo gharama. Sana sana nitanunua sahani, bakuli, vikombe, vijiko, na decor za nyumbani.
 
samahani , sikujua kama umeolewa!!
Lakini kuna ni mara nyingi msichana anaweza kuwa na uwezo kuliko mvulana..Sasa kama hana uwezo wa kuhudumia nyumba, na wewe pesa unayo, utaendeleza vipodozi, kisa jukumu la kulipia ada watoto ni la mwanaume..?
 
Kwa vile nina mwanaume haiwezi tokea nikawa na BF.

Kwa assumption yako, prezidaa hana fwedha, labda awe fisadi. Nikiwa prezidaa sitakuwa fisadi so sitokuwa na fwedha kiihivyo.

Assume nimework hard and harder na kupata kumiliki utajiri wa Carlos Slim Helu, basi utakuwa wangu na mwanaume wangu. Majukumu yote yanayohusu pesa na matumizi ya nyumbani ni juu yake. Sijui school fees, vacation, chumvi, sukari, pilipili hoho na carrots, mitoko ya weeks ends, nguo za watoto na kila kitu ni juu yake.

Pesa zangu nanunua vipodozi, nguo na viatu. Si anataka mwanamke mrembo bana, urembo gharama. Sana sana nitanunua sahani, bakuli, vikombe, vijiko, na decor za nyumbani.
FA , mimi ni muumini mzuri wa kwamba mwanaume ndio anatakiwa kuhudumia na kusimamia familia lakini naomba nikuulize suali la kizushi, hivi pale kinadada mnaposema mnataka usawa mnakuwa mnamaanisha na kukusudia nini?

naitwa klorokwini.
 
Mimi ni katika wanawake wanaopinga hiyo kauli ya usawa kati ya mwanamke na mwanaume.

@ Mpendwa. Siku ya kwanza nakutana na mwanaume namweleza kabisa udhaifu wangu, napenda pesa, naitafuta ila pesa yangu ni yangu na yako ni yetu. Walioona hawaniwezi walijiweka pembeni mapema.
 
ndo maana nilimuuliza ana miaka mingapi?? nahisi kuna mtu amefoward back..lol..
hehehe yaani ule m post unausoma mara moja tu, ukiurudia mara ya pili unajikuta unakosea spelling, michelle akilog in tena atafafanua labda kuna njemba imemlilia halaf ikampiga mzinga wakati anaandika ile post.
 
Mimi ni katika wanawake wanaopinga hiyo kauli ya usawa kati ya mwanamke na mwanaume.

@ Mpendwa. Siku ya kwanza nakutana na mwanaume namweleza kabisa udhaifu wangu, napenda pesa, naitafuta ila pesa yangu ni yangu na yako ni yetu. Walioona hawaniwezi walijiweka pembeni mapema.

mmh...speechless!!
Hivi ile kauli ya mtakuwa mwili mmoja ina maanisha nini (kama uliapa kiapo cha Kikristo)
 
duh kweli u mshari Sarafina,sasa kwan kuna tatizo gan kupigwa mzinga,. Au unataka uwe unapga mzinga wewd tu?,acha hzo wewe c mnasema gender equality au?
 
kwa kauli kama hizi, mbona watu watazidi kulia..lol, duh..

Hapana, tunachokosea wengi ni kuficha makucha wakati jahazi linang'oa nanga. Mkifika katikati ya safari ndio mnaanza kuonyeshana ukweli.

Wewe kama ni mkware hakikisha siku ya kwanza unamuonyesha ukware wako, una gubu, mchoyo, mbabe etc. Sio unajifanya mkimya halafu baadae unageuka faru aliyejeruhiwa. Vile vile kwa wanawake, hasa katika mambo ya fedha. Siku ya kwanza mkikutana usijefanye mkarimu wa kusaidia au kumaliza bills, ukianza hivyo hakikisha unamaliza hivyo hivyo. Sio siku ya siku unakuja lalamika.

Kila mwanaume ameumbiwa mwanamke, na kila mwanamke ameumbiwa mwanaume wa kufanana nae.
 
sjui kwanini nimefall in love na hiyo red hapo.
 
mbona huna hata chembe ya huruma...mwenzio hana pesa, lakini unamuweka ngumu kwamba ni jukumu lake..huenda jamaa siku za mwanzoni alikuwa amebahatisha vijisenti, sasa huko mbele ya safari vikamuishia..unakuwa haumtendei haki...au ndo mambo ya hakuna kubadilishana tabia..
 
Moja ya jukumu langu kubwa ni kuhakikisha mweza wangu anawekeza. Kuhakikisha anajua na kuweza kumanage wallet yake kwa sababu najua kabisa riziki leo kwako kesho kwa mwenzio. Ukiwekeza unajiepusha na mengi.

Nitasaidia kwa mapenzi (ugonjwa, dharura) lakini sio kama vile ni wajibu wangu kuhakikisha chumvi ipo. Akinipiga mzinga, (na huwa anafanya hivyo) mara moja moja ni acceptable. Lakini isiwe kawaida. Na anajua akinipiga mzinga ananipiga wa nguvu, lakini anajua hadi miezi sita au mwaka uishe ndio ataweza kunipiga mzinga mwingine. Mimi vile vile.
 
Back
Top Bottom