Kwa vile nina mwanaume haiwezi tokea nikawa na BF.
Kwa assumption yako, prezidaa hana fwedha, labda awe fisadi. Nikiwa prezidaa sitakuwa fisadi so sitokuwa na fwedha kiihivyo.
Assume nimework hard and harder na kupata kumiliki utajiri wa Carlos Slim Helu, basi utakuwa wangu na mwanaume wangu. Majukumu yote yanayohusu pesa na matumizi ya nyumbani ni juu yake. Sijui school fees, vacation, chumvi, sukari, pilipili hoho na carrots, mitoko ya weeks ends, nguo za watoto na kila kitu ni juu yake.
Pesa zangu nanunua vipodozi, nguo na viatu. Si anataka mwanamke mrembo bana, urembo gharama. Sana sana nitanunua sahani, bakuli, vikombe, vijiko, na decor za nyumbani.