Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

salamu ya kike sana hiyo hata demu wangu simsalimii "mambo"
 
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
Oi ni gan, inakuaje, mitikas, sijui baridaa! hizo si salama za mataja na wahuni wengine,
ukinisalimia hvyo naku chase away!
Spend ujinga!
 
Hivi ni serious unamsalimia mwanaume mwenzako mambo!.ni low sana kwa mwanaume.
 
Nazeeka ama?

Mambo vipi wakuu?😀😀
 
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
Mkuu mambo?
 
Hahaha .... aise!!! Naweza nikatulia kimya kumuepushia dhoruba.

Na vicheko vya "Hihihihi......" kwa mwanaume ni HAPANA!
Wahurumieni wenzenu jamani , malezi yamewa haribu teh teh teh
 
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…